Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
Ukistaajabu sana ya Musa mwisho utaona ya filauni. Mwacheni tu dadaangu apete maana hapa sioni kama tatizo liko wapi this is Tanzania. If u know the right button to press is all that u need :yield:
 
Unmissionary position: How to f**k your way to the top. Jf intrigues kibao!
 
kaka hilo umenenena!!!:wacko: maana viti vimekuwa tupu na mafundi umeme wamekuwa wasanii pia mpaka jana wamehairishateh teh!!!!!!:israel::eek2:
 
Labda ukijumlisha hizo certificates na diploma ndio unapata masters.
 
"Msc. " ndo award gani hiyo wakuu. mi niltegemea kitu kama "Msc. in ................."
 
Tafakari maana ya neno "MAALUM" yaani special, kisha liweke mbele ya neno "VITI" yaani seats ili upate "VITI MAALUM"
That CV is so MAALUM leave it alone.
Ombi langu kwenu wana jf twende kwa wingi tume ya katiba na mfano huu ili hatimaye tupate katiba mpya itakayofuta kabisa VITI MAALUM na uchafu wake
 
Ule wimbo wake wa Wanawake na Maendeleo ulimpa MSc- makubwa haya mtu anapewa ubunge hivi hivi tu kwa kutumia reception halafu unategemea atutoe hapa tulipo? Kweli akili ndogo inatawala akili kubwa
 
duh ya leo kali, dip nyakahoja hicho chuo nacte inakitambua? Msc bila first degree duh kazi ipo, ndo alikua nafanya kazi bot au nimekosea?
 
Ninachochojua na nilicho na uhakika nacho ni kuwa Vicky Kamata alifanya BA Mass communication pale SAUT. Baada ya hapo alifanya kazi BoT lakini kwa taarifa nilizonazo ni kwamba alichemka akaenda kusoma UK sijui alichokua anasoma huko but alivyorudi ndiyo kwenye siasa.
 
Kwa UK ni sawa, Masters ni miezi 9 jomba....

Kwahiyo unataka kusema masters za UK zinataka entry qualification ya Diploma? Halafu diploma yenyewe chuo chake hata kwa sisi watanzania jina geni. (Nyakohoja Computer Centre, Mwanza) Nimejaribu ku google jina la hicho chuo na page nyingi zinazotokea ni zinazohusina na CV ya mbunge huyu wa viti maalum tu.
Nadhani qualification ambayo anayo na haina utata ni Certificate. Na hizo haziwezi kutosheleza kombea masters degree.
 
Kwenye umri namtetea maana zamani ulikuwa ukifanya vizuri unarushwa darasa hii hata mimi ilinitokea na nilianza std one nikiwa na five years then nikarushwa lapili sikusoma labda na yeye imemtokea. Hayo mengine tusijiulize sana

83-89 karushwa wapi?,wadau wanahoji kuanza la kwanza akiwa na umri huo!,
HANGOVER!!!!!
 
God can make a way where seems to be noway.

Yeah, subiri tu utakapoambiwa kuwa mh anakuwa waziri asiye na wizara maalum, au anakuwa waziri wa wanawake, jinsia, watoto cha na breakfast. There is always a way for sure! Au hata mkuu wa wilaya.
 
"katika katika katika, tingisha tingisha tingisha, dengua dada, kata kiuno chini juu, washa moto dada" Kama wewe hujui kukatika shauri yako. Mwenzio anajua ndiyo maana magogoni ikampeleka BOT kisha kuleee Uingereza! kalaga bao!
 

Latifa
Umenichekesha na hizi chenga za hapa na pale za boss wako Injinia!
Dawa yake huyu siku kukiwa na utata mzito, watu wanashuhudia unamwita akusaidie halafu mbele ya watu wewe unajisikia vibaya, tumbo linaleta matatizo unamwachia soo!! Uone kama hukuongezewa mshahara.
 
Sio kuchemka BOT, aliingizwa pale ili aweze kusomeshwa hizo English course huko UK kwa kulipiwa na BOT, na wazee wakifika huko wapumzike naye japo apate kukuza ngeli yake manake Kingreza kilisumbua kwa kazi aliyopewa.
 
kwani ana faida au hasara gani kwa jamii
cv yake inamtosha km mbunge kuna

wale wa std 7 maji marefu na wenzie
 
Kuna nini mbona iko poa tuu
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Southampton Solent University, UK
[/TD]
[TD]MSc.[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD]MASTERS DEGREE Ulisikia wapi Degree ya hivyo tena masters!!Bila degree ya kwanza!!



[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Southampton Solent University, UK[/TD]
[TD]MSc.[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD]MASTERS DEGREE Ulisikia wapi Degree ya hivyo tena masters!!Bila degree ya kwanza!!


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ndugu yangu KakaKiiza wewe unaamini bila digree ya kwanza huwezi kupata Master? Na vile vile inaelekea unaamini bila mtu kuachana na familia yake na kwenda kuishi kwenye Campus ya chuo hawezi kupata degree........hayo ni mawazo ya mwaka 1947. Lecture zinazotolewa chuo kikuu unaweza kuzipata kupita computer yako na ukafanya mtihani na kutunikia degree
 
Last edited by a moderator:

tubadilike-sasa

Kinachotia mashaka hapa ni kwa nini adanganye kiasi hicho....Bill Gates na wengine unaowasema hakudanganya elimu zao, ila tumepambanua uwezo wao kupitia tafiti na matokoe ya tafiti zao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…