Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa UK ni sawa, Masters ni miezi 9 jomba....
Kwenye umri namtetea maana zamani ulikuwa ukifanya vizuri unarushwa darasa hii hata mimi ilinitokea na nilianza std one nikiwa na five years then nikarushwa lapili sikusoma labda na yeye imemtokea. Hayo mengine tusijiulize sana
miaka 5 baba
God can make a way where seems to be noway.
haya mambo ya kudanganya cv ili upate kazi ambayo sio hadhi ya elimu
yako, yanakera sana, mimi kuna bosi wangu kazini
ndio injinia anayetegemewa lakini ni msumbufu balaa akipewa kazi anaomba mtu mwingineaifanye yaani00
Ni chenga za hapa napale ila cv yake inaonyesha katuzidi wote kielimu0 hakuna
chuo cha hapa tz alichosomea vyote ni india na UK, lakini hakuna kazi anayoiweza hata vikazi vya
kiufundi wa setifiketi hawezi eti huyo injinia mwenye msc,
hayo ndio mambo ya kufoji vyeti ili cv ivujitie
Sio kuchemka BOT, aliingizwa pale ili aweze kusomeshwa hizo English course huko UK kwa kulipiwa na BOT, na wazee wakifika huko wapumzike naye japo apate kukuza ngeli yake manake Kingreza kilisumbua kwa kazi aliyopewa.Ninachochojua na nilicho na uhakika nacho ni kuwa Vicky Kamata alifanya BA Mass communication pale SAUT. Baada ya hapo alifanya kazi BoT lakini kwa taarifa nilizonazo ni kwamba alichemka akaenda kusoma UK sijui alichokua anasoma huko but alivyorudi ndiyo kwenye siasa.
[TABLE="class: cms_table"]Kuna nini mbona iko poa tuu
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Southampton Solent University, UK[/TD]
[TD]MSc.[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD]2008[/TD]
[TD]MASTERS DEGREE Ulisikia wapi Degree ya hivyo tena masters!!Bila degree ya kwanza!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
CV ya mtu sio issue. Ila anaweza ku-deliver? Kwani Thomas Edison aliyevumbua bulb baada ya kufanya experiment mara elfu kumi( 10,000 x) alikuwa na masters ya nini? Bill Gates ambaye ni owner wa Microsoft(unatumia Windows PC?) ana degree? Tatizo la watu walio wengi Tanzania wanaangalia CV za watu kana kwamba CV ndio zinazoleta maendeleo ya nchi yetu. CV zenye PhD,masters lukuki zimejaa maofisi ya serikali lakini zainabakia kucheza karata tu,ufanisi hamna.