Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
Mmmh jamani hongera Vicky Kamata, ngoja tuwatafute watu wa guiness record book waweke kumbukumbu zako
 
Masters Bila Bachelor,

Kuna mmoja nilikua nafanyanae kazi Yupo pale UDOM, anadiploma na ana PhD (Russia), ukimuuliza kitu mamamamamamama heee kesho utaona akikuona anavokua anavibrate. Anakuhamisha ofisi mara mapovu kibao. Hatar sana
 
Ukitoka Diploma sijasema Advanced but Diploma unaingia Masters!!! Tena Say Jan 2008 na December 2008 unamaliza course work na dissertation!!! Itakuwa ni chuo gani hicho? Shikamoo mama mhhhhhhhh !!!!!
 
vick anafuata nyayo za mwenyekiti wa chama Mhe. Dr Dr. Profesa Jk, si muda atamfikia
 
Hivi miaka hiyo kweli aliweza kuanza darasa la kwanza akiwa na miaka mitano??
 
Mambo Ya viti Maalum, hata usomi wao pia unakua Maalum...
 

huyu jamaa safi sana,, hawa ndio watu ninaowakubali... ameonyesha ukweli wa elimu yake ndogo na tumeona imemsaidia kufika hapo alipo.... sasa huyu dada yetu ana masters lakini yuko sawa na STD7 MSC yake haina msaada kwa watu wake...
 
ujanja ujanja tu kama kawaida ya mtanzania,,, elimu za kuunga unga na ujanja ujanja tu ili upate urahisi wa maisha kwa kuwarob watanganyika Masters 2008 - 2008 degree haionyeshi kasoma wapi anyway labda mwenzetu Genius. Hivi vitu serikali inaletea mzaha lakini ni moja ya sababu ziletazo umasikini kwa wadanganyika.... Elimu zisizoeleweka halafu watu wako kwenye taasisi muhimu...
 
Mmmh hii masters mbona kiboko?kutoka 2008 mpaka 2008?miezi mingapi kasoma?
 
Hivi baba wa wale machalii wake ni nani? niambieni kabla sijafika Tz toka huku.
 
Degree amesoma wapi? Mbaya vyuo vyote hivyo haviko accridated

Degree amesoma wapi?
mimi nimeona Diploma then anakwenda Masters tena ya mwaka mmoja!!!! hatareeee!!!

Sijaona Post Graduate au Hata Advance Dip,ingependeza Katibu wake au msaidizi wake angetupa ufafanuzi na sie kina yahee tupate Masters maana tumebaki na certifcate zetu tu za Eagle Wing College mkononi.

Masters Bila Bachelor,

Kuna mmoja nilikua nafanyanae kazi Yupo pale UDOM, anadiploma na ana PhD (Russia), ukimuuliza kitu mamamamamamama heee kesho utaona akikuona anavokua anavibrate. Anakuhamisha ofisi mara mapovu kibao. Hatar sana


Nafikiri nyie mkikutana na mtu aliyemaliza degree kwenda Ph.D bila kusoma Master mtashangaa sana.

Pia mtashangaa sana kumkututa profesa ambaye hana Ph.D.

Hii ni kwa sababu wengi wetu tumekuwa programmed kufikiri in the same way. Bado tuna frikra za zama za Nyerere.

Wengi tunadhani ukimaliza shule ya msingi, unaenda secondary, then A Levels, the degree, then master, then PhD, then ndo unaweza kuupata uprofesa.
 


Hongera sana dada, Primary School ulianza ukiwa na umri mdogooo (5yrs old) .Kwakweli certificates umezionyesha kazi. Hongea sana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…