Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
Huyu atasomaje msc bila hata ya kuwa na bachelor degree yoyote?
 
kutoka diploma aliyosomea kwenye internet cafe adi akaweza kusomea masters du! hizo ni kama degree za mrema sasa
 
mimi nimechoka na umri wa kuanza primary..yani miaka 4 na miezi minne enzi za mwalimu uanze la kwanza!!!may be she was a genius
 



From Certificate To Masters........!!!! HIYO INAITWA DAR MPAKA MORO!!

HALAFU CHEKI ALIVYORUDIA RUDIA HIZO STUDIES ILI AONEKANE AMEIANDIKA SANA?
 
Jamani mbona kama ni CV ya wabunge wa Chadema watu wanasisitiza kuangalia utendaji na si ma elimu makubwa? Nafikiri tuwe tunabalance katika kutoa comments!
 
I try to think bado sijaelewa hata kama anadeliver tunachokataa the way CV inavyosema Certificate to masterz hivi ni possible tusiwe na sisi magumashi andika unasoma uk certificates sawa lakin du na kasomea ualimu na hajawahi fundisha ninachojua mim zamani ukitoka ualimu moja kwa moja unapata ajira sasa dada Vick mmmmmmmmmmmmmmmh
 
Sioni tatizo na hiyo CV My take..."ni mpambanaji na maisha, na Masters UK vyuo huwa sio magumashi na its one year..basically 9 months and te rest is research. Hongera Mama.
AHA AHA ADUI MKUBWA NI CCM...HILI UPATE KAZI BOT VIGEZO
1-MTOTO WA KIGOGO
2-MREMBO WA KIGOGO
3-UWE TISS
LAKINI HIYO NUMBER MBILI NDIO ILIMPA KAZI PALE SEMA SIMTAJI ALIYEMPA NAOGOPA NUMBER TATU WATANIULIMBOKA ...........
""As we look ahead into the next century, leaders will be those who empower others." ~ Bill Gates
 
Lakini hata hivyo ana nafuu sana ukilinganisha na prof. Maji marefu na Lusinde.
Acheni kumnanga sana, chakula chetu hicho.
 
mmmh kasomaje huyu hii elimu mwenye no. yake anipe basi namimi nikasome fasta nihitimu huu ukilaza.hivi CV ya nanihi unayo?
 
kama nchi nahusudu vyeti, basi yule mwenye uwezo wa kupata vyeti hivyo kwa pesa na hila ndo atakuwa kiongozi na si yule mwenye uwezo wa kuongoza pekee.
 
Kwanza mwangalie mtoto alivyotulia na si unajua kuwa ni viti maalum ? Sasa unategemea ni ? Shakula ya Wakubwa bana , mjengoni wengine wamepelekwa kuwa viburudisho. Masters kitandani
 

Hapo kweli kazi tunayo! Kwani hata mwenye certificate hajui tofauti ya "boost" na "boast"?? Mwalimu gani anaweza kupitisha title ya Investigation of differentiation?
 
Enzi hizo Edison na Gates hawakundanganya watu kuwa wanazo degree. Tatizo hapa ni kudanganya na kujaribu kuwafanya wananchi wa URT kuwa wapumbavu. wabunge wengi tu hawana degree na wameandika CV za ukweli kwa nini yeye adanganye?
halafu CV inaonyesha ameanza shule ya msingi akiwa na umri wa miaka minne na miezi mitatu, ameshindwa hata kufikiri jinsi ya ku-fake CV ndio ataweza kuchangia hoja huyo?
 
Hapo kweli kazi tunayo! Kwani hata mwenye certificate hajui tofauti ya "boost" na "boast"?? Mwalimu gani anaweza kupitisha title ya Investigation of differentiation?
Ni Mwl. JMK pekee ndio huwa anapitisha titles kama hii!
 

Kwa mwendo huu!!! elimiu sio kila kitu jamani....bahati ndo kila kitu...
 
Mie kilichonimaliza ni hiyo Certificate of Attendance kwenye semina ya wiki moja pale ESAMI eti nayo inakuwa included as ana academic Certificate kwenye Cv?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…