Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
Habari Wanabodi,

Nilikuwa napitia CV ya Mh. Vicky Kamata,mbunge wa viti maalumu kwakweli ina-encourage watu sana.Ningependa atupe somo sie makanjanja tufike alipofika yeye.Maana na mie nina ka-certificate kangu ka Upendo Vocation Training Center ya Computer.Au kama kuna mtu anaweza akatufafanulia mchakato wa certificate ya vyuo vya mtaani mpaka kupata masters ukoje?

View attachment 231798

Naomba Kujulishwa Kama Siyo Kufahamishwa Kiutaalamu Hivi Kuna Uwiano Gani Wa Kuanzia Hapo Mwaka 1983 Hadi Mwaka 1999 Na Yeye Kuwa Na Masters Degree? Binafsi Naona Maluweluwe Matupu!
 
Mh!!! au ni Masters ya heshima fulani kama wale wengine waliopewa Phd na nchi rafiki zinazotuchekea huku zinatumaliza

Mwingine huyu hapa

Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable
First Name: Deo
Middle Name: Kasenyenda
Last Name: Sanga
Member Type: Constituency Member
Constituent: Njombe Kaskazini
Political Party: CCM
Office Location: Box 190, Makambako, Iringa
Office Phone: +255 754 565678/+255 784 361523
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: dsanga@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth 1 January 1956
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Ikwega Primary School, Mufindi Primary Education 1970 PRIMARY

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From Date To Date
The Parliament of Tanzania Member - Njombe North Constituency 2010 2015

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
Chama Cha Mapinduzi, CCM Member - National & Regional Council 2007 2012
Chama Cha Mapinduzi, CCM Chairperson (CCM Iringa Region) 2007 2012
Chama Cha Mapinduzi, CCM Ward Councilor 2000 2010
 
mi nilikua sijui.... kumbe unaweza kutoka diploma hadi masters na ukaisoma ndani ya mwaka mmoja tu?? hlf mbona haijaandikwa ni ya nini (MSc. ?????)
 
nadhani "cerificates are nothing but pieces of papers, real knowledge" iko kichwani sasa binafsi sijamfuatilia lakini kama ni mbunge bila shaka wapo mnaofuatilia bunge je hizi "achevements" mnazozisema hapa zinaonekana katika michango yake na utendaji wake?

"any body can have those pieces of papers" lakini "we are interested with knowledgeable people who can do something" na hiyo ndio mantiki ya elimu na si kuwa na "pieces of papers looking for posts but" utendaji nothing.
 
Naomba Kujulishwa Kama Siyo Kufahamishwa Kiutaalamu Hivi Kuna Uwiano Gani Wa Kuanzia Hapo Mwaka 1983 Hadi Mwaka 1999 Na Yeye Kuwa Na Masters Degree? Binafsi Naona Maluweluwe Matupu!

Hili Bubge nalo punba.vu sana yaani hata haliwezi kuwasaidia wabunge mizigo kuandika vizuri CV zao? Ona lilivyochanganywachanganywa wala halina mtiririko! Chini 1983, Juu 199....
kati 200......, juu tena 2008! Hovyo kabisa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom