Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!Wakati huohuo asilimia 85 ya wanawake walioko kwenye ndoa ama wameshaenda kwa mganga kupewa dawa za kuwafanya waume zao wawapende au wanatafuta waganga hao ili kupata dawa.Lakini asilimia 80 ya wanawake walioko kwenye ndoa/uhusiano wanafujwa(abuse)kwenye ndoa au uhusiano.Lakini ni asilimia 98 ya wanawake wote hawako tayari kuishi bila waume.Na asilimia 6 ya wanawake walioko kwenye ndoa hufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kindoa!. . . . . .Wanawake mna matatizo gani?
 
hizi takwimu kwakeri sijui chanzo chake ni kipi...ira nataka kupekua kwenye mafairi yangu ya wizara ya mahusioano na mapenzi, nafikiri ni ile sensa ya zamani za kare kabra sijakuwa wazir....
 
What different does it make?

Which study came up with the statistics you have presented? That is, I need to scan through the document to authenticate the figures you have given.
 
Asilimia 95 ya wanawake walioko kwenye ndoa na mahusiano hawafiki kilele wakati wa tendo la ndoa,lakini robo tatu ya asilimia hiyo hawajui kama mwanamke naye hufika kilele!Wakati huohuo asilimia 85 ya wanawake walioko kwenye ndoa ama wameshaenda kwa mganga kupewa dawa za kuwafanya waume zao wawapende au wanatafuta waganga hao ili kupata dawa.Lakini asilimia 80 ya wanawake walioko kwenye ndoa/uhusiano wanafujwa(abuse)kwenye ndoa au uhusiano.Lakini ni asilimia 98 ya wanawake wote hawako tayari kuishi bila waume.Na asilimia 6 ya wanawake walioko kwenye ndoa hufa kila mwaka kutokana na matatizo ya kindoa!. . . . . .Wanawake mna matatizo gani?

Sijaelewa kama hili ni swali au ni jibu. Na kama ni swali sijui kama ni sahihi kuwauliza wanawake, au wewe ulitaka wajifikishe kileleni wao wenyewe?

Hili ni kosa la wanaume wasiojua ku-do ipasavyo. Kama ulitaka kumalizia mada yako kwa swali ungeuliza hivi; wanaume mna matatizo gani?
 
Wa kwanza keshaafika si umemuona? hio cha mtoto wanakuja walimu wake
 
Which study came up with the statistics you have presented? That is, I need to scan through the document to authenticate the figures you have given.

Authenticate has nothing to do with this,just answer my question coz this come from me!
 
Mwana Mtoka Pabaya,huna haja ya kujaa gesi,hebu soma thread vizuri utajua sababu ya swali langu.Am afraid your name may afect you!
 
Last edited by a moderator:
na hii hali ya hewa...jukwaa lazima litasheheni leo...nipe muda...naja!
 
Wa kwanza keshaafika si umemuona? hio cha mtoto wanakuja walimu wake

Inaonekana ana hasira ya kutofikishwa huyo!Na hiyo ID yake mh!
 
Back
Top Bottom