Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejaza form gani?post za ualim dirwct frm chuo huwa hazina ujazaj form,ajira huja tu.Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?
Wizara ya elimu wamesema washamaliza kila kitu.
TAMISEMI, wanasema washamaliza kila kitu,
Tatizo Pesa!
Azina kumekauka kau.
Cha msingi watoe tamko walimu wafanye yao.
Wamejaza form gani?post za ualim dirwct frm chuo huwa hazina ujazaj form,ajira huja tu.
Hakuna haja ya kusubir tamko,hapo ni kujiongeza tu kufanya yako
Wazir mkuu ajibu ilo la ualimu kwa kweli..
Kuliko kulalamika nimekuwekea mawasiliano ya wabunge wazalendo, wakumbushe wakumbusheAjira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?
hakuna maswali ya papo kwa papo so sidhani kama swalu lako litaulizwa
Leo si Alhamis au?
Leo si Alhamis au?
kwa hiyo dogo kanidanganya maana kanieleza hata aliko chagua
waziri mkuu hayupo
hakuna maswali ya papo kwa papo so sidhani kama swali lako litaulizwa
Yapo, fungua redio au tv now.