Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
mh. Na amejibu maswali?
Yanajibiwa kwa niaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh. Na amejibu maswali?
Ha ha ha,hatapangiwa huko na labda iwe bahat yake tuuu,ila wale hupanga kulingana na mahitaji ya maeneo,yale makaratas sidhan kama hata huko wizaran hufikishwa.kwa hiyo dogo kanidanganya maana kanieleza hata aliko chagua
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?