Mh! Waziri mkuu wakati unajibu maswali leo jibu na hili!

Mh! Waziri mkuu wakati unajibu maswali leo jibu na hili!

Pinda ni mzukule wa JK lazima uingie mitini hawezi kuingia wakati BVR imevimba
 
kwa hiyo dogo kanidanganya maana kanieleza hata aliko chagua
Ha ha ha,hatapangiwa huko na labda iwe bahat yake tuuu,ila wale hupanga kulingana na mahitaji ya maeneo,yale makaratas sidhan kama hata huko wizaran hufikishwa.
Miaka ya karibuni wanapelekwa sana Mikoa ya SIMIYU,KIGOMA na kwingineko
 
Kawaida huwa mwalimu mpya hajipangii sehemu ya kwenda bali anapangiwa kutegemea mahitaji ya mahali
 
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?

waende kulima. bado tuna mashamba ya kutosha yanahitaji ubunifu tu
 
Back
Top Bottom