Mh! Waziri mkuu wakati unajibu maswali leo jibu na hili!

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?
 
Wizara ya elimu wamesema washamaliza kila kitu.
TAMISEMI, wanasema washamaliza kila kitu,
Tatizo Pesa!
Azina kumekauka kau.
Cha msingi watoe tamko walimu wafanye yao.
 
Wamejaza form gani?post za ualim dirwct frm chuo huwa hazina ujazaj form,ajira huja tu.
 
Wizara ya elimu wamesema washamaliza kila kitu.
TAMISEMI, wanasema washamaliza kila kitu,
Tatizo Pesa!
Azina kumekauka kau.
Cha msingi watoe tamko walimu wafanye yao.

Hakuna haja ya kusubir tamko,hapo ni kujiongeza tu kufanya yako
 
Nakuja na namba za waheshimiwa hawa mtume sms au kuwapigia waulize. Machali, Mnyika, Lissu, Mkosamali nk, waambieni walize.
 
Machali 0757 957 869
Mkosamali 0654 476 547
0764 760 102
Sugu 0716 627 344
Mnyika 0784 222 222
0754 694 553
Kama wanawapenda watahoji hatma yenu. Na kama kuna mh unataka namba yake basi nicheck nitakupa, ila iwe kwa nia njema ya kizalendo. Zote zipo,
 
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?
Kuliko kulalamika nimekuwekea mawasiliano ya wabunge wazalendo, wakumbushe wakumbushe
 
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?

Serikali ya kihuni inaendeshwa kihuni na watakaoumia ni wananchi walipa kodi wasio jitambua, ewe mwananchi usiwachague hao ifikapo mwezi oktoba 2015
 
hakuna maswali ya papo kwa papo so sidhani kama swali lako litaulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…