kimpango
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 600
- 717
Mi nafkiri mh. Diwani,na mwenyekiti WA timu yetu pendwa baba WA familia yako na RAIA mwenzangu wa Tanzania kwa hili umekosea,Mengi ni mpinzani wako lakini nakuona ukinywa maji ya Kilimanjaro mahakamani,nilifurahi kuona hivyo BT nimewaza ingawa una haki zote kisheria kutetewa na wakili yeyote lakini kuwa na mitazamo tofauti ya kisiasa tu ndio sababu za kutokuwa na Kibatala ,au kuna mengine sasa mwenyekiti unaniambia inawezekana kesho hoja ikawa ni simba au yanga Mh,diwani na mwenyekiti wa timu yangu ninafkiri siasa sio uadui na Taaluma ya sheria ni noble professional nimeshuhudia mawakili na wanachama wa chadema au ccm wakiteteana mahakamani bila kuathiri chochote au kwa uwezo wako ungeweka mawakili tofauti tofauti ,naomba nieleweke kuwa sina tatizo na uliyewaweka nw shida yangu ni kuona kuwa ulijikwaa kdg kama kiongozi kuto sababu za kisiasa kumuondoa mawakili uliowachagua awali kwenye kesi hii ya madawa BT haya ni maoni yangu kwako maana unanihusu kwa hayo niliyoyataja hapo awali .....vinginevyo huku uraiani kuna msemo unanibana unaitwa fight against your affairs(faya)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app