Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mil 10 mbona kijisenti kwa saliti Zitto? Amelipwa hela nyingi sana ili aisambaratishe CDM.
Cool,lakini tunamsubiri atueleze namna mikataba ya leka,gombe,nssf na tanapa ilivyoingiwa,naamini havina uhusiano na hizi michango zake.
Hivi zile DVD za uzalendo alizokuwa anasambaza zimeishia wapi? Kijana anahangaika kweli.... Uzuri alisha ambiwa hao watu sio wazuri kufanya nao mipango. Jina alilolijenga limevurugwa sasa.
Mil 10 mbona kijisenti kwa saliti Zitto? Amelipwa hela nyingi sana ili aisambaratishe CDM.
sa yule matumbo alivosema linex na wenzake wanalalamika jinsi zzk anavyowanyonya
Sikiliza | Download | LINEX_-_WEMA KWA UBAYA
Anaweka mambo sawa..
kuna mmbwa koko yuko street kwetu tumekaa kamati ya mtaa tumechagua jina lako matola vp unajisikiaje?!
Anawatumia wasanii mbumbumbu kutupa madongo CDM.
===================================
Mambo gani anayoweka sawa??? maana ukiangalia huo wimbo zamani tuu zaidi ya mwaka mmoja na wewe umbea wako umeuleta juzi kati tu hapa miezi miwili haijapita
Roho mbaya zitawamaliza.