Mh. Zuberi Zitto Kabwe amchangia Linex 10ml

Mil 10 mbona kijisenti kwa saliti Zitto? Amelipwa hela nyingi sana ili aisambaratishe CDM.
 
Hivi zile DVD za uzalendo alizokuwa anasambaza zimeishia wapi? Kijana anahangaika kweli.... Uzuri alisha ambiwa hao watu sio wazuri kufanya nao mipango. Jina alilolijenga limevurugwa sasa.
 
Cool,lakini tunamsubiri atueleze namna mikataba ya leka,gombe,nssf na tanapa ilivyoingiwa,naamini havina uhusiano na hizi michango zake.
 
Cool,lakini tunamsubiri atueleze namna mikataba ya leka,gombe,nssf na tanapa ilivyoingiwa,naamini havina uhusiano na hizi michango zake.

Hakosagi sababu yule. Utasikia hiyo 10M ni rambirambi kwa msiba wa mama yake
 
Hivi zile DVD za uzalendo alizokuwa anasambaza zimeishia wapi? Kijana anahangaika kweli.... Uzuri alisha ambiwa hao watu sio wazuri kufanya nao mipango. Jina alilolijenga limevurugwa sasa.

Mchange na Rangimoto Njano Chamshua walifulia. Cd zenyewe ni ujinga mtupu
 
Mimi nilishajitoa kwenye mfuko wa NSSF
 
===================================

Mambo gani anayoweka sawa??? maana ukiangalia huo wimbo zamani tuu zaidi ya mwaka mmoja na wewe umbea wako umeuleta juzi kati tu hapa miezi miwili haijapita

Basi tusibishane mkuu,ila elewa mie sibahatishi nachokiongea na wala aya mambo ghafla ghafla ayatokei kwa bahati mbaya..Alafu ukae uelewe hakuna msanii maarufu bongo anaelipia kurekodi audio,video ndio zinalipiwa...Kuna siku mtaujua ukweli,nisijefunguka wakaninasa.
 
Kwani nini cha ajabu hapa?
 
Watu wengi wanaoshabikia CDM wanamchukia sana Zitto Kabwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…