Mhadhiri afumua madudud vyuo vikuu

Mhadhiri afumua madudud vyuo vikuu

msomi anajaribu ku_legalize plagiarism! kama graduates wa tz ndio mnamawazo ya namna hii mhhhhh.. nimeamini kweli degree za chupi zipo na baadhi zimeshajitokeza kwenye posts zilizonitangulia
 
Sedoyeka nae bwana, mbona hata yeye kafanya advanced diploma then hapo hapo akafanya mastaz halaf PhD ina maana inaruhusiwa kuwa na advanced diploma then ukafanya mastaz

Hayo ndo mawazo mgando ambayo watu wengi wameyakumbatia kwa muda mrefu. Ni wapi imeandikwa duniani kuwa ukiwa na Advanced Diploma huruhusiwi kufanya shahada ya uzamili? Hiyo pia imekuwa ndo kasumba ya UDSM kwa muda mrefu na kuwafanya watu wasipate admission ya master's degree wakati vyuo vingi vya Nje wanawapokea and some of them are professors. Jaribu kufunguka ndugu, Ujerumani wao walikuwa na Diploma ambayo ni sawa na bachelor kwa vyuo vingine na inasomwa miaka minne na units covered ni sawa. Try to to think outside the box
 
Musiongee stori za kijiweni hapa mbona kuna wakenya wengi tu tumesoma nao masters na sivyo unavyosema? Acheni kukandya wasomi wa vyuo vikuu kama elimu ya mazabe iko sehemu zote. Kuto kujuwa kujieleza kwenye interview sio kwamba elimu ni duni ni mtu mwenyewe, kwani wewe unataka kila kitu akupe mwalimu? kama hivyo basi waliosoma nje si wote wangekuwa na kazi? mbona hata huko nje kwenyewe watu wanashindwa kwenye interview? Elimu sio lugha elimu ni material bhana. Mi ninao wakenye nasoma nao mbona mie ndo kipanga wananitegemea.
 
acha uongo . na kama hujui uliza . mwanafunzi aliyemaliza university kenya huwezi kumfananisha wa tanzania hata kidogo. na wakikutana kwenye interview au kazini ndio aibu kabisaaaa. yaani huyu wa tanzania mwenye degree ya bongo anakuwa kama mwanafunzi wa primary tu wa kenya. mwanafunzi kamaliza degree UDSM hata kujieleza haweza je anaweza kweli kupanga business plan ya kampuni yenge management ya watu wa mataifa tofauti. au angalia bunge na sikiliza bunge la kenya hivi mbunge anaweza kufanana kimawazo au akili kama JOSEPH MBILINYI ? unaambiwa rais wa RWANDA mheshimiwa KAGAME ana diploma je unaweza kumfananisha na rais wenu anayeitwa dokta ? au dokta wa kenya unaweza kumhananisha na ma dokta wetu eti dokta JOHN KOMBA , dokta NCHIMBI etc . hayo ndio matokeo ya elimu mbovu, nadhani hata ulisikia kuhusu wale wagombea ubunge wetu wa africa mashariki ambao hata kujieleza english hawawezi. na mfano wa mwisho angalia hao wanautaka kugombea urais uchaguzi ujao kina EDWARD LOWASA , MEMBE ,MBOWE etc . je unaweza kufananisha na nchi gani duniani???

We unaoneka hujasoma UDSM, waliokosa UDSM huwa na wivu sana na UDSM. Tatizo sio vyuo tatizo ni watu wenyewe na sio vyuo usitegemee mwalimu atakupa vyote. Mmezoea spoon feeding na tuition zile mlikuwa mnakaririshwa majibu ndo zina watokea puani
 
msomi anajaribu ku_legalize plagiarism! kama graduates wa tz ndio mnamawazo ya namna hii mhhhhh.. nimeamini kweli degree za chupi zipo na baadhi zimeshajitokeza kwenye posts zilizonitangulia

Kukopy ni dunia zima wana-kopy bhana sema hata walio nje wanajaribu kujifanya kana kwamba hawakopi tena wengine wanaagiza madesa kutoka bongo huku huku. Swala la kukopy huwezi ukaligeneralise kiasi hicho, kukopi ni swala la mtu binafsi awe mtanzania ama raia wa nchi nyingine anaweza kukopi pia. Tena wanaosoma nje ni hatari sana. Mimi niliwahi kupitia thesis moja ya mtz alikuwa anasoma Uholanzi yahani kopy ni one tu one. Pia kuna wengi nawajuwa huwa wanakuja kukusanya research za watu huku tz na wanaenda kupresent huko nje. Swala hili ni global. Na huyo aliyefanya research hii angetueleza yeye alifanya nini na alichokifanya kiko wapi?
 
Watanzania tumezoea kukurupukia mambo kama upepo leo mtu akiwa na Nokia wote wanajaa huko, mtu akisoma MBA kila mtu anataka asome hiyo hiyo, yahani watu hata hatufikirii akilini na kuhoji badala yake watu wanaparamia tu kusupport vitu ambavyo hawana uhakika.
 
acha uongo . na kama hujui uliza . mwanafunzi aliyemaliza university kenya huwezi kumfananisha wa tanzania hata kidogo. na wakikutana kwenye interview au kazini ndio aibu kabisaaaa. yaani huyu wa tanzania mwenye degree ya bongo anakuwa kama mwanafunzi wa primary tu wa kenya. mwanafunzi kamaliza degree UDSM hata kujieleza haweza je anaweza kweli kupanga business plan ya kampuni yenge management ya watu wa mataifa tofauti. au angalia bunge na sikiliza bunge la kenya hivi mbunge anaweza kufanana kimawazo au akili kama JOSEPH MBILINYI ? unaambiwa rais wa RWANDA mheshimiwa KAGAME ana diploma je unaweza kumfananisha na rais wenu anayeitwa dokta ? au dokta wa kenya unaweza kumhananisha na ma dokta wetu eti dokta JOHN KOMBA , dokta NCHIMBI etc . hayo ndio matokeo ya elimu mbovu, nadhani hata ulisikia kuhusu wale wagombea ubunge wetu wa africa mashariki ambao hata kujieleza english hawawezi. na mfano wa mwisho angalia hao wanautaka kugombea urais uchaguzi ujao kina EDWARD LOWASA , MEMBE ,MBOWE etc . je unaweza kufananisha na nchi gani duniani???

Kumbe wewe unamaanisha elimu ni English? Mbona wachina wanatumia lugha yao popote wanapoenda? Msiwe na mawazo ya kizamani bhana. Na ndo maana hata kwenye mikutano mikubwa wanaweka vyombo vya kukarimani lugha unadhani kwa nini? huwezi kulazimisha watu wote watumie kiingereza. Sisi watanzania tumekuwa wajinga kuipuuza lugha yetu ya asili ndo maana inazidi kudidimia. Huwezi kumlinganisha Kagame na Kikwete yahani ni sawa kumlinganisha mtu anayeongoza kamkoa kamoja na mikoa karibu 30. Changamoto anazopata raisi kikwete ni tofauti na za kagame. Kikwete anachallenge nyingi sana. Ana simamia upinzani, dini, makabila zaidi ya 12o ishirini tofauti yote yakae pamoja. Sasa kagame ana nini kumzidi Kikwete? Labda ungelinganisha na kina Kibaki ama Museveni. Na waliompa Udr. Kikwete sio kwamba wao ni wapumpavu na wewe ndo muelewa zaidi yako. Watu wengi maana ya Dr hatuelewi tunafikiri ni kusoma darasani tu.
 
Namshauri huyo Dr. aende dunia nzima kufanya research hii na hapo ndo ataamini ninachosema hapa ama wale watanzania ambao wanasoma nje wakirudi tu muwakamate muwaoji ama muwapime muone vituko
 
Mwenzenu kafanya Tafiti kaja na Findings zake, nanyie kama mnazipinga fanyeni Tafiti mje na majibu sio kupinga tuu kwa kuongozwa na utashi wako.Inawezekana vipi mtu kuwasemea wale wanaosoma nje kuwa wanakopy na hujawahi hata kusoma nje ya mkoa wako? vilevile Inawezekana vipi waliowahi kusoma nje kuisema elimu ya Tanzania?

Mimi nilidhani labda mngechukua hiyo tafiti yake nanyinyi mkafanya tafiti zaidi ili mje na majibu yenu.Kwamfano Kama kuna wingi wa wanafunzi wanaofanyiwa Tafiti, Je hao wahadhiri wanaowafanyia walisomea wapi, kama wanazifanya kwa ubora, Je na wao walifanyiwa na nani walipokuwa wanafunzi?
 
Mwenzenu kafanya Tafiti kaja na Findings zake, nanyie kama mnazipinga fanyeni Tafiti mje na majibu sio kupinga tuu kwa kuongozwa na utashi wako.Inawezekana vipi mtu kuwasemea wale wanaosoma nje kuwa wanakopy na hujawahi hata kusoma nje ya mkoa wako? vilevile Inawezekana vipi waliowahi kusoma nje kuisema elimu ya Tanzania?

Mimi nilidhani labda mngechukua hiyo tafiti yake nanyinyi mkafanya tafiti zaidi ili mje na majibu yenu.Kwamfano Kama kuna wingi wa wanafunzi wanaofanyiwa Tafiti, Je hao wahadhiri wanaowafanyia walisomea wapi, kama wanazifanya kwa ubora, Je na wao walifanyiwa na nani walipokuwa wanafunzi?
 
acha uongo . na kama hujui uliza . mwanafunzi aliyemaliza university kenya huwezi kumfananisha wa tanzania hata kidogo. na wakikutana kwenye interview au kazini ndio aibu kabisaaaa. yaani huyu wa tanzania mwenye degree ya bongo anakuwa kama mwanafunzi wa primary tu wa kenya. mwanafunzi kamaliza degree UDSM hata kujieleza haweza je anaweza kweli kupanga business plan ya kampuni yenge management ya watu wa mataifa tofauti. au angalia bunge na sikiliza bunge la kenya hivi mbunge anaweza kufanana kimawazo au akili kama JOSEPH MBILINYI ? unaambiwa rais wa RWANDA mheshimiwa KAGAME ana diploma je unaweza kumfananisha na rais wenu anayeitwa dokta ? au dokta wa kenya unaweza kumhananisha na ma dokta wetu eti dokta JOHN KOMBA , dokta NCHIMBI etc . hayo ndio matokeo ya elimu mbovu, nadhani hata ulisikia kuhusu wale wagombea ubunge wetu wa africa mashariki ambao hata kujieleza english hawawezi. na mfano wa mwisho angalia hao wanautaka kugombea urais uchaguzi ujao kina EDWARD LOWASA , MEMBE ,MBOWE etc . je unaweza kufananisha na nchi gani duniani???

Nadhani hapa unaongelea uwezo wa mtu kujieleza kwa kiingereza na sio maarifa. Nimesoma na wanafunzi karibu wa nchi zote za Afrika. Malawi, Kenya, Uganda, Zambia etc., wanakiri tunawaburuza vizuri sana kwenye masomo hasa ya sayansi ila hatujui kujieleza. Na ndivyo tulivyokuwa tukiwakimbiza, ila ukiwapa vitu vya kujieleza ambavyo ni subjective kama vya Political Sciences, wanaongea kama chiriku.

Mbona Wachina wengi nimekutana nao hawawezi kabisa wengine kuongea hata sentensi moja ya Kiingereza inayoeleweka, lakini unawaona wanavyofanya vitu vya kueleweka? Tunawazidi mbali kitaaluma hao unaodai wazuri.

Nimeombwa kusaidia kuinterview watu wanaotafuta ajira kwenye kampuni moja hapa TZ. Kwangu ni muhimu mtu kujua kujieleza lakini mimi kama mimi nitakuwa naangalia zaidi uwezo wa mtu (content) katika kile anachotaka kufanyia kazi. Mtu aje na blah blah zake za kisiasa ati anajua kujieleza itakula kwake. Jieleze vizuri sikatai, lakini uonekane unajimudu kichwani sio mdomoni.
 
Kujieleza kwenye fani kama za matangazo, hapo ndio unaweza kumpa mtu maksi za juu, sio kila kitu mdomo mdomo tu. Kuna fani zinahitaji mtu atulie na kufanya vitu vya kueleweka, maneno maneno na ujanja ujanja hapana. Hata hivyo watu wengi ambao hawawezi kujieleza vizuri wanaweza kuwa wazuri katika kuandika,
 
Back
Top Bottom