Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Ndio engines za taifa haoTatizo wahadhiri wengi walikuwa soma soma enzi za shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio engines za taifa haoTatizo wahadhiri wengi walikuwa soma soma enzi za shule
Wewe pia hauna uzoefu wa kutunga sera za nchi na kufanya academic researcheshawana uzoefu wa kutongoza wanawake
Vijana wa kitaa sio nguzo za taifa kwa sababu sio wasomiNdio maana vijana wa kitaa wanajilia warembo bila shida..
Serikali haiwezi kuanzisha tuition za masuala ya hovyo kama haya. Wao wanajikita katika masuala ya kujenga taifaInabidi ianzishe twisheni ya kutongoza..
Falme nyingi zilishaanguka, vita vingi vilishapiganwa, future nyingi zilishaharibika sababu ya kitumbua. Usicheze na kitumbua bageshi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Miaka 43, dah anaua future yake kisa Kitumbua?
Madanga ya mtaani nao unawaita ni wanawake?hawana uzoefu wa kutongoza wanawake na hawajui wanawake wanataka kusikia
Wale sio warembo ni madanga tu asikudanganye mtuNdio maana vijana wa kitaa wanajilia warembo
Miaka 43, dah anaua future yake kisa Kitumbua?
Nani kakuambia kutoa uchi ndiyo kigezo cha kufaulu, wakija mtaani wakiajiriwa ni weupeeee hawakai kwenye ajira kwa hawajui kitu, hongo za mapenzi ni za kukemewa sanaShitaka hilo litatupwa Uchumi anaotaka kuuhujumu ni upi?
Kungekuwa na ukwepaji kodi?
Ina maana huyo dada ana bikira? Si bora angeliwa tu na gamba anapata ataliwa kwa nusu kuku na failure juu.
Usifanye utani na kitumbua bwana...!!Miaka 43, dah anaua future yake kisa Kitumbua?
Hahaha wakat mwngn Bora ukanunue tu wadadapoa yaisheKutaka uchi na uhujumu uchumi wapi na wapi? Au wanataka kusema watoto wa kike wanatembea na uchumi au uchumi wanao wameukalia?
Papuchi noma sana dahhMiaka 43, dah anaua future yake kisa Kitumbua?
Hahaha wakat mwngn Bora ukanunue tu wadadapoa yaishe
Aiseee vyouoni watoto wanafelishwa sana.