Mhalifu ni nani ndani ya Ole Sabaya?

Mhalifu ni nani ndani ya Ole Sabaya?

HIVI NDUGU HUJAWAHI KUONA MOVIE KIONGOZI WA SERIKALI ANAHUKUMIWA UNYANYASAJI WA KIJINSIA LAKINI NYUMA YAKE KOSA PENGINE NI ALITEMBEA NA MTOTO WA KIONGOZI! HYO MENGINE TUYAACHE NA TUMUOMBEE APATE HAKI YAKE
 
Naendelea Kusisitiza kuwa mtakuja na ' Threads ' nyingi tu za Kumponda au Kumtetea ila Mimi GENTAMYCINE nisiposikia Hukumu yake kuwa ni ya Kifungo cha Maisha Jela au Kuuliwa ( Kunyongwa kabisa ambacho ndiyo nakiombea 24/7 ) sitoielewa na hata Kuiamini tena Mahakama ya Tanzania na hata Serikali ya Rais Samia.
Muda huu asbh nimesikia wasaf Fm magazeti wakitaja tuhuma nyingine mbili...
1. Kugunduliwa Kwa Jengo la kutesea watu "Goligota"
2.Akaunti zake mbili za benk ku kutwa na "VITITA"

Nime save the day
 
IMG-20210513-WA0069.jpg
 
Kwakweli andiko hili ni zuri sana sijui mama atapitia humu aweze kuliona?
Uongozi wa nchi ulikuwa kama wa "One man show"
Yaani mifumo yote haikufanyakazi kama inavyotakiwa. Maana siyo jambo la kawaida mteule wa Rais akatenda yote haya na bado akaendelea kutazamwa tu.
 
Back
Top Bottom