Mhalifu ni nani ndani ya Ole Sabaya?

HIVI NDUGU HUJAWAHI KUONA MOVIE KIONGOZI WA SERIKALI ANAHUKUMIWA UNYANYASAJI WA KIJINSIA LAKINI NYUMA YAKE KOSA PENGINE NI ALITEMBEA NA MTOTO WA KIONGOZI! HYO MENGINE TUYAACHE NA TUMUOMBEE APATE HAKI YAKE
 
Muda huu asbh nimesikia wasaf Fm magazeti wakitaja tuhuma nyingine mbili...
1. Kugunduliwa Kwa Jengo la kutesea watu "Goligota"
2.Akaunti zake mbili za benk ku kutwa na "VITITA"

Nime save the day
 
Kwakweli andiko hili ni zuri sana sijui mama atapitia humu aweze kuliona?
Uongozi wa nchi ulikuwa kama wa "One man show"
Yaani mifumo yote haikufanyakazi kama inavyotakiwa. Maana siyo jambo la kawaida mteule wa Rais akatenda yote haya na bado akaendelea kutazamwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…