PreGE2025 Mhamasishaji Michael Msechu aendelea kufanya uhamasishaji Dodoma. Ashirikiana na bodaboda kufunga mitaa

PreGE2025 Mhamasishaji Michael Msechu aendelea kufanya uhamasishaji Dodoma. Ashirikiana na bodaboda kufunga mitaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu,

Nawaonea huruma sana wakazi wa Dodoma katika kipindi hiki. Inawezekanaje bodaboda wachache waruhusiwe kufunga barabara?

Yaani kila sehemu ni vurugu na mabendera ya CCM sehemu zote.

Na hawa bodaboda wanadanganywa sana

============================

Maafisa usafirishaji Mkoa wa Dodoma (bodaboda) wakiongozwa na Balozi wa mazingira Michael Msechu wameanza hamasa ya kumpokea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM TAIFA Samia Suluhu Hassan kuelekea kwenye Mkutano Mkuu utakaofanyika leo January 18 hadi 19 katika ukumbi wa JAKAYA KIKWETE CONVENTION CETRE.

 
Back
Top Bottom