Mhandisi Kahema Mzirary amesema gesi ya magari hailipuki ni salama

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Mkurugenzi wa Energo Tanzania Limited, Mhandisi Kahema Mziray ametoa wasiwasi kwa watu juu ya matumizi ya gesi asilia katika vyombo vya usafiri ikiwemo magari ni salama.

Mhandisi Mziray ameyasema hayo wakati alipofanya mahojiano kupitia Upendo TV juu ya matumizi ya nishati ya gesi asilia katika vyombo vya usafiri.

Amesema kuwa gesi hiyo ni salama kwa mazingira hiyo amehakikishia kuwa waendelee kutumia gesi kwa matumizi ya kawaida

Chanzo: Upendo tv


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…