GE2025 Mhandisi Kija Limbu aahidi kukamilisha Zahanati ya Kageye Baada ya Mkandarasi Kufukuzwa

GE2025 Mhandisi Kija Limbu aahidi kukamilisha Zahanati ya Kageye Baada ya Mkandarasi Kufukuzwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mgombea Ubunge Jimbo la Katoro kupitia chama Cha Mapinduzi CCM Mhandisi Kija Limbu Ntemi, amewahakikishia wananchi wa kijiji Cha Kageye, Kata ya Nyachiluluma kuwajengea zahanati ambayo Mkandarasi wake alifukuzwa kwa kushindwa kutekeleza mradi huo.

Mhandisi Ntemi ametoa kauli hiyo kwenye mwendelezo wa kampeni zake Jimboni hapo oktoba 7, 2025.

Amesema yeye ni Mhandisi hivyo kama Mkandarasi alikosea atasimamia kuhakikisha inajengwa kwa ubora unaotakiwa na kwamba wananchi wamuamini na oktoba 29, 2025 wakampe kura nyingi yeye, Diwani na Mgombea Urais Dkt Samia Suluhu Hassan.

 
Back
Top Bottom