Mhandisi Mkazi, Upembuzi yakinifu wa 1980 unatumika bwawa la JNHPP

Watu kama hawa ndio mama Samia inatakiwa awasikilize sababu jamaa amaeeleza vitu kitaalam,ila wanasiasa wetu wanafiki WANAO JUAJUA kumbe hawajui watampoteza.

Hata akitaka ushauri zaidi adondoke UDSM aongee na malecture watampa benefits nzuri kabisa za umeme wa maji zidi ya vyanzo vingine.

Wewe jitu linalotoa ushauri kipindi chake ndipo kashfa zillikuwa nyingi za ufisadi ktk maswala ya umeme.Mgao ulikuwa kawaida mpaka kufikia masaa 12 kwa siku (wanakata asubuhi kurudi jioni),gesi wakampa mchina.Leo hii wanadai umeme wa gesi umepitwa na wakati,yaani ili mradi ale cha udalali.

Ma Lecturer hawa hawa akina Prof. Majalala?
 
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba ...

N.B
TANESCO na wahandisi wa mradi wa Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere JNHPP kuja kutoa maelezo ya ziada ndivyo inatakiwa ktk kipindi hiki cha uwazi na kuwafahamisha wanufaika yaani wananchi wa Tanzania kufahamu kinachoendelea ktk miradi mikubwa ya pesa nyingi za walipa kodi.

Duu kumbe tuko kipindi cha ukweli na uwazi
 
So what's the difference will this make? What's the 1980 gonna change? You guys don't waste your breath and time answering every shit people talks.

We don't need to waste resources and energy to justify the construction of that dam. Every single person who loves this country knows that we need reliable and cheap electricity and that dam will be one of the source so regardless how much they criticize we must stick to the plan. We want it and we are going to do it and no one can stop that.

What I can advise the government right now is to make sure that the natural gas project is also renewed so that these two major electricity projects going together. If we want industrial economy we must have enough and cheap electricity nothing more nothing less.
 
1970 report ilitumiwa kama refence tu,

Nakimalizia hii presentation mpya ambayo ni ndefu sana, unatakiwa uache kazi zako na uisome kwa kutulia. Nitaileta brief yake.

Economic, Technical and Financial Feasibility of the Stiegler’s Gorge Hydropower Project, Tanzania. Review and updated by ,

Elizabeth Kurt's PhD,

Robert Bernstein PhD

Helmut Carstein PhD.

Botões Westburg FC Inst E

Hydropower Sustainability Assessment Protocol

Introduction

According to Tanzania’s 2015 National Energy Policy, availability, affordability, reliability and
access to modern energy services are key ingredients towards socio-economic development.
Current power generation capacity is approximately 1,500 MW, which is very low for a country
with 59 million people. The largest single potential generation project in Tanzania is a
hydropower project at Stiegler’s Gorge on the Rufiji River, which would expand generation
capacity by 2,100 MW. In the latest update of the Power System Master Plan (PSMP) from 2016 - 2022.

In association with the Government of Tanzania and Ethiopian National Hydropower Generation Company, our team has done a thorough and effected review of the following:

Hydropower design

Dam design

Power generation design

Power transmission line design

Over all project implementation planning.

1)DESCRIPTIVE HYDROLOGY-TEAM

2)QUANTITATIVE HYDROLOGY-TEAM

3)HYDROGRAPH ANALYSIS-TEAM

a) the water energy resource sites

b) Evaluation to determine the feasibility of stiglers gorge hydro power dam

c) The criteria considered for site accessibility

d) Load or transmission proximity,

e) Land use,

f) Environmental sensitivities

g) Feasible potential project site

h) Estimates of the power potential

i) Development model not requiring a dam obstructing the watercourse

j) Formation of a reservoir.

k) Penstock running parallel to the stream

Hichi ni Kitabu cha kurasa 360. Cha review ya 2016 kabla ya kuanza ujenzi 2017.

Inawezekana wataalamu wa umeme kwao mwaka 1970, 1980 na 2016 ni miaka sawa? LABDA
 
Umetoa angalizo zuri.
 
Last paragraph sound more powerful.we need both projects to work together for industrial uses and social uses
 
Thanking You
 
Mantiki ni ipi sasa?
yaani leo tupo mwaka 2021 halafu tunajenga bwawa la umeme kutumia upembuzi yanikifu wa mwaka 1980, yaani miaka 40 iliyopita, halafu tunajipongeza!
Umesikiliza maelezo au unapambana na 1980 tuuu.... We cag kichere vipi ww
 
RIP JPM
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba ...

Anaeleza mabadiliko waliyofanya kwenye usanifu. Hata hivyo haelezi sababu za kumsingi zilizo fanya wafikie maamuzi hayo.

Wanachofanya sasa hivi ni onsite change of plan na siyo feasibility study.

Pili Feasibility study ina vipengele, hata CAG alikiri kwamba baadhi ya vipengele viliuhishwa. Lakini kuna vipengele muhimu havijauhishwa, hasa swala la mtiririko na upatikanaji wa maji ambao umeathiriwa sana na mabadiliko ya tabia nchi.
 
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba ...

Excellent information.... hivi ndo imatakiwa. Kuongea kwa facts.
 
Mantiki ni ipi sasa?
yaani leo tupo mwaka 2021 halafu tunajenga bwawa la umeme kutumia upembuzi yanikifu wa mwaka 1980, yaani miaka 40 iliyopita, halafu tunajipongeza!
Hebu utumie akili hata ya kuazima. Sikiliza kwa umakini na uelewe maelezo yaliyotolea na mtaalamu. Sio kupinga kila kitu bila kuwa na hoja.
 
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba ...

Katika miradi yote mradi utakaotutia umaskini vizazi na vizazi ni huo wa Stiglers Gorge. Bila kuzingatia sababu za WWF kuhusu kuvuruga ecosystems na World Heritage site kuna sababu 4 za nguvu kwa nini Stiglers Gorge ni wastage of money kwa nchi ya Tanzania; (1) Maji yapatayo 36% yaliyokuwapo mwaka 1980 wakati feasibility study ilifanyika sasa hivi hayapo (2) Umeme wa kutegemea maji siyo wa kuaminika kwenye karne hii kutokana na mabadiliko ya tabia nchi (3) Hata Mtera na Kihansi zilipojengwa miaka ya 1980s na 1990s tuliambiwa zingekuwa ni suluhisho la umeme lakini zimeshindwa. Lakini tunaambiwa bwawa linajaa matope hivyo hata kimo cha maji kinakuwa kidogo.
(4) Kuna ongezeko kubwa la watu wanaoishi pembezoni mwa mto unakoanzia na unakopita hivyo basi kuongezeka kwa shughuli za kibinadamu kama kilimo na mifugo.

Kweli Baba wa Taifa ndiye muasisi na mbunifu wa mradi wa Stiglers Gorge lakini hata kama angekuwa hai kufika leo angebadili mawazo ya utekelezaji kwa vile alikuwa anashaurika.
 
Nadhan unatumia vibaya hasira zako. Hayo yaliyowatokea hawa unawataja hakuna anayeyapenda ila haimaanishi kwa sababu ya hasira tuchukie nchi hapana.... lazima tuwe wazalendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom