Mhandisi mshauri mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanzania akutwa kafariki

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga.

Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.

Dunia tunapita..uchunguzi ufanyike juu ya kifo chake.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nadhani kifo kitakuwa kimesababishwa na kusuasua kwa mradi kufikia hata atua ya kufutwa kwa mradi huo!
 
Hivi hawa wanaolipinga hilo bomba hadi kuanza kuua wahandisi lengo lao ni nini? Wanataka sisi tubaki masikini hivi hadi lini?
 
Back
Top Bottom