Mhandisi na architect

Mhandisi na architect

CES

Member
Joined
May 12, 2021
Posts
32
Reaction score
24
Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments)

Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi.

Alikubaliana nao kuhusu bei.

Mteja wangu anataka kujenga jengo la ghorofa mbili.

Level ya kawaida itakuwa na biashara ya takriban 90 sqm, upande mwingine kutakuwa na mlango ya kuingia kwenye jengo kwa ajili ya wakazi.

Ghorofa la kwanza kutakuwa na flat mbili, kila flat lazima iwe na vyumba vya kulala 3, living na dinner 30 sqm, vyumba wiwili 13 sqm, master 16 sqm, jiko 10 sqm, w.c mbili, bathroom moja, shower room moja.

Ghorofa la mbili itakuwa the same.

Kama nilivyosema , mteja amekubaliana bei za kuuza flat hizo na wanunuaji.

Kila mnunuaji atalipa asilimia 30 ya bei wamekubaliana kwenye flat yake, baadae asilimia 70 atazilipa mpaka miaka mitano bila riba.
Mteja wangu yeye atalipa ujenzi wa jengo hilo step by step.

Kwa hivyo, kutokana na mkataba alifanya na wanunuaji, mteja wangu, kwa ajili ya kupata faida, anataka kila flat gharama yake mpaka finishing isizidi 24 000 000 TSH (lakini kuna tolerance kidogo) , hii na kwa gharama la kila flat tu. Ada nyingine tutakubaliana.
Mradi utafanyika TANGA na DODOMA
 
Mkui sidhani kama uwezekano wa kukamiliaha nyumba ya ghorofa mbili mpaka fininshing kwa 24M.
 
Nyumba ya ghorofa mbili haitagharamia 24 M
 
Kwa hiyo unahitaji kampuni ya architecture & construction? Ila dau lako ni dogo sana
 
Kama ni Tanga bila shaka watakuwa wahindi hao au waarabu[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom