Habari wakuu! napenda kuwajulisha kuwa nafanya kazi kama mhariri binafsi, kwa wale wanaojihusisha na uandishi wa vitabu, hadithi (simulizi), makala tofauti tofauti na kazi zingine za kiuandishi nipo hapa kufanya kazi zenu. Kama utahitaji mhariri ili kuhariri kazi yako basi nipigie au nitumie ujumbe mfupi kwenda namba 0654284872. Asante