Mhariri "Daily News" sasa unatia aibu! Yapi Merzeki na mradi wa Umeme , wapi na wapi?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594

Gazeti la leo 15/3/2020, front page Daily News.
Picha ni nzuri lakini ati anayejenga mradi huo ni Yapi Merzeki!!!!!!!
Mhariri naona amechok kazi.
No proof reading na anabeba tu makosa ya waandishi wake.
Hakumbuki gazeti hili la serikali linasomwa dunia nzima.
 
Mimi nilipoikia kwa msomaji wa magazeti asubuhi ya leo ambaye hata yeye alionekana hajui! Nikajua Moderators wa Daily News wameunganisha makampuni.
 
Tusimlaumu sana pengine hajui tofauti kati ya miradi hiyo miwili

Jr[emoji769]
 
Lakini na wewe mbona umesahau ku-proof read hapo kwenye Yapi Merzeki, hariri na isomeke Yapi Merkezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…