The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
""waandishi mnapoandika habari za watu mchukue tahadhari kwa kuwa kuna watu hawataki habari zao ziandikwe" hapo ana maana gani? kama amiri jeshi mkuu anasema hivyo tukimbilie wapi??...".
Yawezekana ni Rais ambaye ni rahisi..
EL naye alikwenda huko alikokua amejificha mkuu na Membe naye aliitwa huko, nadhani labda waliyamaliza, ama walipanga mikakati mipya.
Tumeona picha ya Rais Kikwete kumfariji muandishi huyo pamoja na kutowa agizo washughulikiwe waliohusika na kitendo hicho ingawaje hakutoa muda fulani kama alivyotowa kwa wale waliouliwa kwa kutuhumiwa ni majambazi,nakumbuka Rais Kikwete alitoa muda wa wiki sita, wametafutwa na kupatikana wapelekwe kwenye vyombo vya sheria,tokea siku ile mpaka leo kimya hakuna kinacho sikika
baada ya Abdalla Zombe kufikishwa mahakani siku mbili tatu kiasi cha kuzibwa macho raia.
Haya tuje kwa Ditopile halkadhalika mambo yalikuwa moto moto wananchi kutia matumaino sheria itachukuwa mkondo wake,lakini wapi zilikuwa ni kelele za mlango leo Ditopile niliwahi kusoma kuwa yuko nje na anafanya biashara zake.Kusudio ni kusema kuwa kama wanavyosema wenyewe "CCM INA WENYEWE" na wenyewe ndio hao watu fulani, pameulizwa muandishi wa habari kosa lake ni nini?
Nami nauliza Marehemu Amina Chifupa kosa lake ni nini? lilikuwa nini?
Tuje kwa Jeneral Ulimwengu, Ali Mohamed Nabwa, ni nini kosa lao hata kufikia kunyang'anywa uraia wao, huyo Mwinyi Sadalla amesha pandishwa kizimbani ni nini kosa lake,ambaye inasemekana ni mtu wao CCM-SMZ.
INVISISIBLEMwanakijiji
Kula sahani moja na Mtot wa mkulima. Huyu anaonekana ana nafasi fulani CCM. Haburuzwi mtu hapa.
ushirika wa wanga huwa haudumu.....nasema tena huyu kubeneya amepelekwa haraka haraka india kama "funika kombe.."..hawa mtandao waliingia madarakani kwa kuchafua kina sumaye.....sasa kina membe waliokuwa smooth operators wanaanza kuchafuana wao kwa wao on the run out to presidency 2015...tutaaona mengi...!! uzuri kaka yao jk anajua source ya ugomvi..mbona mapema!!! kazi yake
wasiwasi wangu mimi uko hapa.....!
Any ways,katika BIG picture every snag should be taking very seriously sijui wenzangu mnafikiri nini......
Kuna picha ipo kwenye gazeti la MWANANCHI ukurasa wa Nane (8) najaribu kuileta hapa ila inaniwia vigumu ila caption yake inasema hivi......
"Waziri mkuu,Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa India nchini,Kocheril Bhagirath (kushoto) kabla ya mazungumzo yao,ofisino kwa waziri mkuu DSM."
sasa haya ni mawazo yangu tu inaweza kua walizungumza kuhu mambo mengine ya kikazi au KUHUSU SAFARI YA MATIBABU YA NDUGU MUHARIRI inchini india! yote yana wezekana
Hivi humu ndani watu wameingiliwa na nini hadi wajiite fisadi?
we unafanya mchezo wenzenu siku hizi wakitajwa kuwa ni mafisadi wanafikiria wanapata promotion ya aina fulani.. ni katika harakati za kudesensitize watu ili mtu akiitwa fisadi basi anacheka tu..! Inakuwa ni kama mtu anapomwita rafiki yake "huyu mshenzi sana..!" kwa maana ya ujanja na uchakaramu..
Hayo ni maoni yako,jina langu halina tofauti na lako,kwani wewe unawajua wanakijiji wa tanzania,ambao ata kompyuta hawajui ni nini sasa utakuwaje wewe? Nachojua ni kuwa wote nyie mnatamani kuila keki ya taifa bt hamna nafasi ya kuingilia mnaishia kushika chaki darasani.Wenzenu wazazi wetu waliona mbali tukasoma course zenye kazi bora siyo uteacher kaka Kitila,,
Fisadi mtoto,ha ha ha ha haKitila acha kujifanya Chadema damu,wewe ni ccm kama ccm wengine wote tatizo lako ni muoga wa siasa za ushindani,nakumbuka walipokupiga mweleka pale uchaguzi wa uvccm mkoa ndio mbio Chadem.ulizani zile siasa za Daruso?ata wewe nakuona ni fisadi ambae umekosa upenyo wa kuingilia tu.WADUMU MAFISADI WOTE.
walivo aminishwa kua KUBENEA NI MUHARIRI MKUU WA MWANAHALISI,WHILE HE IS NOT,OR WALIVO AMINISHWA KUA KAMWAGIWA TINDI KALI WHILE NI MAJI YA PILI PILI NA SINEMA YAKE YA KIHINDI. HAWAJUI KUA AMEPELEKWA INDIA AKAJIFUNZE HOW TO ACT KIHINDI BAADA YA KUONYESHA KIPAJI KTK TUKIO LA HIVI KARIBUNI.
KIDUMU CHA MCHA MAPINDUZI
acha ulimbukeni.kwani Ualimu sio kazi ambayo ianmsaidia mtu?Mbona mama sitta ni Mwalimu na sasa anapeta katika Uwaziri.wacha kuleta hoja dhaifu.jibu hoja kwa hoja na wala si kwa vioja.Hayo ni maoni yako,jina langu halina tofauti na lako,kwani wewe unawajua wanakijiji wa tanzania,ambao ata kompyuta hawajui ni nini sasa utakuwaje wewe? Nachojua ni kuwa wote nyie mnatamani kuila keki ya taifa bt hamna nafasi ya kuingilia mnaishia kushika chaki darasani.Wenzenu wazazi wetu waliona mbali tukasoma course zenye kazi bora siyo uteacher kaka Kitila,
kigumu chama cha Mapinduzi.na huo ushemeji wa Zitto na CCM ina maana kaoa CCM??umenikumbusha mbali Kitila,Mnyika,Zitto aka shemeji yetu ccm,walivo waoga ktk siasa za ushindani n kukimbilia ktk kikundi cha wana harakati (chadema).
KIDUMU CHA MCHA MAPINDUZI
Kuna siasa za ushindani zaidi ya hizi za CCM na CHADEMA,CUF?au unaongealea sisa za DARUSO?nimepita DARUSO na namfahamu vizuri zitto katika kutetea Maslahi ya Wanafunzi wenzake ukiachilia tofauti ndogo ndogo za ujana ambazo zitto alikuwa nazo wakati yuko chuo.umenikumbusha mbali Kitila,Mnyika,Zitto aka shemeji yetu ccm,walivo waoga ktk siasa za ushindani n kukimbilia ktk kikundi cha wana harakati (chadema).
MKOMBOZI,kigumu chama cha Mapinduzi.na huo ushemeji wa Zitto na CCM ina maana kaoa CCM??
Kuna siasa za ushindani zaidi ya hizi za CCM na CHADEMA,CUF?au unaongealea sisa za DARUSO?nimepita DARUSO na namfahamu vizuri zitto katika kutetea Maslahi ya Wanafunzi wenzake ukiachilia tofauti ndogo ndogo za ujana ambazo zitto alikuwa nazo wakati yuko chuo.
Hivi Mkili yuko wapi??
ukimtaja huyu shemegi yangu nnakuomba useme marehemu Ali Mohammed Nabwa(Allahu ya Rahamuuh) ombi tu ili mola azidi kumuweka pahala pema huko aliko