Kapinga
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 727
- 14
Mimi sina ushahidi wa kuhusika kwa serikali ya CCM. Lakini kuna mifano mingi tu huko nyuma inayonipa sababu za kuwa na wasiwasi. Kuna mwanasheria mmoja aliuawa kijambazi na inasemekana huyu ndiye aliyekuwa mwanasheria wa rais mstaaafu. Mpaka leo wauaji wake hawajajulikana. Kuna ripoti zilizowahi kuandikwa magazetini juu ya urafiki wa waziri mkuu na wakuu wa majambazi Arusha---mmojawao ambaye alitolewa jela karibuni, inasemekana baada ya waziri mkuu kukutana na Jaji mkuu aliyeteuliwa katika mahakama ya rufaa. Sasa ukiongezea hii ya mwandishi habari, na hapa hatujasahau yaliyompata marehemu Amina Chifupa na bila kumtaja gavana wetu wa benki kuu, inaniwia vigumu kuwa na imani na serikali yetu ya CCM.
Huyo mwanasheria uliye mzungumzia hapo was my uncle..kwa kweli mimi sio insider but kuna issue hapo..majambazi wamepewa life???...na walishikwa the same day of the incident??? (Tanzania hii..we call those scapegoats)...kisingizio kilikuwa eti kisa vx ndo wakamuua..there is much more than that...Umafia upo CCM miaka nenda rudi..but we shud thank god of this new day and age of information...the winds of change are blowing...na mafisadi wanapanic..na kwakupanic..wanajiumbua...