State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV.
Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!?
Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠ðŸ˜