Mhariri wa Habari ya saa mbili usiku UTV kazi imemshinda?

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Tokea jana kuna mkanganyiko mkubwa na muingiliano wa Habari, hasa za kitaifa UTV.

Je, Msimamizi wa maudhui ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku katika chaneli hiyo ya Azam tv amekumbwa na nini!?

Maana imeshaanza kuwa kero kwa sisi watazamaji .😠😠😠
 
Acha udini, ninavyo vyeti vyangu vyote vya madrasa ya Kitumbini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…