PreGE2025 Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia alivyonusurika kutekwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia habari za watekaji.

Ameelezea namna walivyo mfuatilia ili kumteka.

Amesema haya mbele ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa, Spika, Katibu Mkuu CCM na Viongozi wengine. Amesema wakati wa MSIBA wa Mzee Mongela.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo anayewafuga watekaji ndiye wa kushughulika naye
 
Kuna mtu yuko hapo kakaza fuvu utadhani hasikii kinachosemwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…