John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia habari za watekaji.
Ameelezea namna walivyo mfuatilia ili kumteka.
Amesema haya mbele ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa, Spika, Katibu Mkuu CCM na Viongozi wengine. Amesema wakati wa MSIBA wa Mzee Mongela.
View attachment 3360392
Ni hatari kubwa sana.
Je, atateka Watu wangapi?