John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia habari za watekaji.
Ameelezea namna walivyo mfuatilia ili kumteka.
Amesema haya mbele ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa, Spika, Katibu Mkuu CCM na Viongozi wengine. Amesema wakati wa MSIBA wa Mzee Mongela.
View attachment 3360392
Mzee wa watu alifanya nini?Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia habari za watekaji.
Ameelezea namna walivyo mfuatilia ili kumteka.
Amesema haya mbele ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa, Spika, Katibu Mkuu CCM na Viongozi wengine. Amesema wakati wa MSIBA wa Mzee Mongela.
View attachment 3360392
Sasa hivi nimeanza kila jioni nawapigia ndugu zangu ......tujuane kama tumefika nyumbani wote. Hali ishakuwa teteKila familia/koo iitishe rokoo kila jioni na asubuhi ikiwa kuku wote waliingia bandani na wameamka tena wote asubuhi.
Hivi mpaka uwe umefanya nini? Who is ordinary and safe❓Mzee wa watu alifanya nini?
Mzee wa watu alifanya nini?
No reforms no election 2025 ⚒️ 💯Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza asimulia habari za watekaji.
Ameelezea namna walivyo mfuatilia ili kumteka.
Amesema haya mbele ya Mkurugenzi wa usalama wa Taifa, Spika, Katibu Mkuu CCM na Viongozi wengine. Amesema wakati wa MSIBA wa Mzee Mongela.
View attachment 3360392
Bunge letu nalo limekuwa la ovyo kwa sababu linaongozwa na mpika maandazi. Ameruhusu bunge lituite MAKENGE" na darasa la saba asiyejua hata protocols na hata international relations....Huyo fala Musukuma alisema angekuwa ni yeye angewavunja vunja miguu na mikono, na hao wabunge wengine. Hivi hawa wanajua kinachokuja sasa kwa kuwaumiza hao raia wa nchi zingine? Inaweza isiwe leo lakini, hizi chuki zitakaa milele na zitaathiri nchi zetu kwa sababu tu tuna wajinga wasioelewaNyerere hakuyaacha haya, alituacha wamoja tukiitana Ndugu, wamekuja wanaotaka kuogopwa wanataka kuheshimiwa
Hilo haliwezekani mpaka kesho asubuhiLengo la Samia ni kuua wakristo wote,hakika hafiki mbali huyu mzanzibar
They are all rubbishBunge letu nalo limekuwa la ovyo kwa sababu linaongozwa na mpika maandazi. Ameruhusu bunge lituite MAKENGE" na darasa la saba asiyejua hata protocols na hata international relations....Huyo fala Musukuma alisema angekuwa ni yeye angewavunja vunja miguu na mikono, na hao wabunge wengine. Hivi hawa wanajua kinachokuja sasa kwa kuwaumiza hao raia wa nchi zingine? Inaweza isiwe leo lakini, hizi chuki zitakaa milele na zitaathiri nchi zetu kwa sababu tu tuna wajinga wasioelewa
Lipi linawezekana mkuu,huoni kushambuliwa kwa wakristo huku akiwaita mashetaniHilo haliwezekani mpaka kesho asubuhi