Mhashamu Filbert Mhasi: Nitashangaa sana kama kuna mtu amepita seminari anakuwa CHAWA

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"...usisahau kumrudia Mwenyezi Mungu, usisahau kuishi Maisha mema na ya maadili mazuri na hichi ndicho tunachotegemea kwa yeyote ambaye amepitia Seminari..." amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi Mhashamu Filbert Mhasi wakati akitoa mahubiri kwenye masifu ya jioni kuelekea JUBILEI ya Miaka 75 ya Seminari ya Mtakatifu Francis , KASITA Jimbo Katoliki la MAHENGE.
Your browser is not able to display this video.
 
Hehehee
 
Chawa wametajwa
 
Mhashamu akiri tu jamii inahitajia kurekibisha kasoro zilizo jitokeza! Mbona uchawa uliasisiwa chini ya Mseminari JPM! Tuwe wapole tutafute suluhu ya matatizo ua nchi kwa ukweli na haki, si kwa kujitia upofu na chuki
 
Tangu aliponyanyuka yuda na kusema ile barua haiwahusu na haikusainiwa na yeye sina la kusema ngoja nipite hivi
 
Mhashamu akiri tu jamii inahitajia kurekibisha kasoro zilizo jitokeza! Mbona uchawa uliasisiwa chini ya Mseminari JPM! Tuwe wapole tutafute suluhu ya matatizo ua nchi kwa ukweli na haki, si kwa kujitia upofu na chuki
Mingi yupo, watashindwa kwa chuki zao hizo. Nimejifunza kuwa chuki za hawa jamaa ni Kali sana sana sana.
 
Mbona wamisionari walikuwa chawa wa serikali za kikoloni? Kwani kanisa si chawa tu wa kawaida ambaye kila siku anaonyesha sura mbili ili kulinnda jinai na ulaji wake? Huyu amesahau jinsi kardinali Polycarp Pengo alivyojigeuza chawa hadi akambariki daudi bashiti ukiachia mbali akina Kilaini methodius?
 
Seminari ni nini hadi watu waliopita huko wasiwe machawa iwapo inawaharibu na kuwafanya wasiitumikie wananchi kwa kuzalisha kupitia vipaji na akili zao kwa kuwafungia tu kama mambumbumbu wakati ni watu wenye akili nyingi na vipaji.
 
Mapadri wote waliopita seminari ni machawa wa papa wa roman cathoric
 
Seminari ni nini hadi watu waliopita huko wasiwe machawa iwapo inawaharibu na kuwafanya wasiitumikie wananchi kwa kuzalisha kupitia vipaji na akili zao kwa kuwafungia tu kama mambumbumbu wakati ni watu wenye akili nyingi na vipaji.
Kwa ufuska wa kanisa unaofichuka sasa hivi, sijui kama wengi hawakubakwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…