Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre

Lakini Yesu alisubushwa akiwa bado kijana mdogo miaka 33 tu,
Halafu mbona Mtume Petro ambaye ndiye inasemwa kanisa limejengwa juu yake na yeye ndiye papa wa kwanza alioa ??
 
Lakini Yesu alisubushwa akiwa bado kijana mdogo miaka 33 tu,
Halafu mbona Mtume Petro ambaye ndiye inasemwa kanisa limejengwa juu yake na yeye ndiye papa wa kwanza alioa ??
Unauliza maswali ya kipumbavu! Wewe kama siyo mkatoliki yanakuhusu nini? Lakini kama unawashwawashwa kujua tafuta maelezo ya Mtaguso wa Kwanza na wa Pili wa Lateran (1129 na 1139). Utaona kwa nini Mapadre hawaruhusiwi kuoa! Na hii imesaidia ndiyo maana huwezi kusikia Katoliki wanagombana shauri ya mali za Kanisa!
 
Kuoa tu, hasa ukizingatia mapadre na maaskofu wengi tu wanajulikana kutembea na wanawake na wengine hadi wana watoto kwa siri mitaani.
Huo ni udhaifu wa binadamu husika. Hata huko kwenye imani nyingine ambazo viongozi wanaoa napo wapo wenye wanawake nje ya ndoa zao na hata watoto wa nje
 
πŸ˜πŸ˜€
Huo ni udhaifu wa binadamu husika. Hata huko kwenye imani nyingine ambazo viongozi wanaoa napo wapo wenye wanawake nje ya ndoa zao na hata watoto wa nje
πŸ“»πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…