Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre

Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre

Unauliza maswali ya kipumbavu! Wewe kama siyo mkatoliki yanakuhusu nini? Lakini kama unawashwawashwa kujua tafuta maelezo ya Mtaguso wa Kwanza na wa Pili wa Lateran (1129 na 1139). Utaona kwa nini Mapadre hawaruhusiwi kuoa! Na hii imesaidia ndiyo maana huwezi kusikia Katoliki wanagombana shauri ya mali za Kanisa!
Kuuliza si ujinga, aulizaye ataka kujua. Take it easy dude.
 
Kuuliza si ujinga, aulizaye ataka kujua. Take it easy dude.
Uko sahihi mkuu lakini kuna watu wanakera. Kama wangekuwa wanaukiza tu bila kusema tungekuwa tunawaelewa sasa mtu anakuja na majibu yake! Hii inakera!
 
Back
Top Bottom