AHSANTENI SANA,
Tumepata CVs za kutosha, tunafanya upembuzi wahusika tutawasiliana nao. NAOMBA ZISITUMWE CV ZAIDI.,tulizopata zinatosha.
Nilisema wasichana watapewa "upendeleo", Neno "upendeleo" halimaanishi "pekee".
Ingawa kwenye sekta ya fedha kina mama wameonakana kuitendea haki zaid (japokuwa sio wote), sio kwamba ataajiliwa mtu sababu ya jinsia yake..hapana ,vigeo kwanza.
AHSANTENI SANA.
Director
SHIMI ENTERTAINMENT.
je anatakiwa awe na ujuzi wa muda gani?

Nini maana ya SHIMI? una entatain nini? Ebu tupe dondoo za kazi ya kampuni yako.