mamabaraka
Member
- Oct 18, 2011
- 92
- 14
kaka.. Zikitokea nafasi zaidi za uhasibu advance diploma mnijuze mwenzenu nimetafta kazi natembea hadi viatu vimeisha, neti sasa hadi ukiniona utajua nafanya kazi internet cafe maana kila siku natembelea huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
\ahsanteni sana,
tumepata cvs za kutosha, tunafanya upembuzi wahusika tutawasiliana nao. Naomba zisitumwe cv zaidi.,tulizopata zinatosha.
Nilisema wasichana watapewa "upendeleo", neno "upendeleo" halimaanishi "pekee".
Ingawa kwenye sekta ya fedha kina mama wameonakana kuitendea haki zaid (japokuwa sio wote), sio kwamba ataajiliwa mtu sababu ya jinsia yake..hapana ,vigeo kwanza.
Ahsanteni sana.
Director
shimi entertainment.