Mhasibu anahitajika haraka

kaka.. Zikitokea nafasi zaidi za uhasibu advance diploma mnijuze mwenzenu nimetafta kazi natembea hadi viatu vimeisha, neti sasa hadi ukiniona utajua nafanya kazi internet cafe maana kila siku natembelea huko.
 
\
achen kutudhalilisha wahasibu jamani..kwa mujibu wa nbaa mhasibu ni yule mwenye cpa na uzoefu wa miaka mitatu na kusajiliw3a na nbaa..mtu mwenye diploma sio mhasibu..tafuta jina lingine kabla nbaa hawajakuchukulia hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…