kaka kama wanajua huna sifa kwanini wasikuache ukashindwa kwenye kura huyo mkabila chan naye na wambura ni mhaya
Bwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.
Ahsante ndugu yangu Polisi.Mkuu nijuavyo mimi maamuzi ya wengi huwa ni maamuzi halali. Kumbukumbu zinaonesha ni mkoa wa kagera na Lindi nadhani ndo walipinga kati ya mikoa 25 . Kwa nini hutaki kuheshimu maamuzi ya wengi? Baada ya kagera kushindwa kuzuia kusudio ya TFF ulichukua hatua gani? Kwa nini hukukata rufaa kama ulivyofanya baada ya kuenguliwa? Kwa nini ulichukua fomu ilihali ukijua katiba inayokupa wewe uwezo wa kugombea ni batili? Tawi lako uliloshikilia ni huyo ndugu yako wa BMT. Anampotosha sana waziri. Ila kumbuka kuwa fitna hashindi kudra
mwisho wa siku bora tukose wote halafu wao tuwatende kama wanavyomtenda wambura yaani tuwatilie fitina wasijihusishe na soka wao na jamii zao,ila sishangai fifa ndio tabia yao kwani ni nini kilimpata bin hamann blatter ni janga.Jamaa wanamtaka hakimu Nyamlani, na wanajua akigombea na mtu yeyote atashindwa, hivyo ili wafanikiwe ni lazima agombee peke yake.
BTW Nyamlani ni Makamu Mkiti TFF,
Michezo iko mingi na sio soka tu.......hawa TFF na FIFA wasitake kutupelekesha
Majibu kama haya wazungu wanaita "Knee jack reaction"!!
Unaweza kuwa sahihi kwenye hilo unalolizungumzia.Binafsi naamini kama ungekuwa makini na misimamo yako basi naimani ungepambana na ukiukwaji wa katiba ya Tff badala ya wewe kujiingiza kwenye mchakato wa kugombea uongozi tena kupitia katiba ambayo from the beginning Mr Malinzi uliona inakiuka taratibu zilizopo..What was the reason behind this move?kwa nni ulishindwa kuweka pingamizi juu ya katiba ilyoitumika kwenye mchakato mzima?Mi nafikiri kuna zaid ya hapo!Bwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.