Mhe Amosi Makala..vs.. Fifa

Mhe Amosi Makala..vs.. Fifa

Demokrasia imekuwa kituko ktk nchi zetu, hivi sensa ya mwaka jana inasema tuko wangapi?

Wooote hawa tumekosa vigezo kiasi cha Mh Nyamlani agombee na kivuli? Kweli?
 
kaka kama wanajua huna sifa kwanini wasikuache ukashindwa kwenye kura huyo mkabila chan naye na wambura ni mhaya

Jamaa wanamtaka hakimu Nyamlani, na wanajua akigombea na mtu yeyote atashindwa, hivyo ili wafanikiwe ni lazima agombee peke yake.

BTW Nyamlani ni Makamu Mkiti TFF,
 
Bwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.

Mkuu nijuavyo mimi maamuzi ya wengi huwa ni maamuzi halali. Kumbukumbu zinaonesha ni mkoa wa kagera na Lindi nadhani ndo walipinga kati ya mikoa 25 . Kwa nini hutaki kuheshimu maamuzi ya wengi? Baada ya kagera kushindwa kuzuia kusudio ya TFF ulichukua hatua gani? Kwa nini hukukata rufaa kama ulivyofanya baada ya kuenguliwa? Kwa nini ulichukua fomu ilihali ukijua katiba inayokupa wewe uwezo wa kugombea ni batili? Tawi lako uliloshikilia ni huyo ndugu yako wa BMT. Anampotosha sana waziri. Ila kumbuka kuwa fitna hashindi kudra
 
Last edited by a moderator:

Ahsante ndugu yangu Polisi.
Kwa mujibu wa taratibu za jukwaa hili i have said all i wanted to say,kama ulivyosema yaliyobaki tuachie "kudra".
Personalising issues is not my style.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa wanamtaka hakimu Nyamlani, na wanajua akigombea na mtu yeyote atashindwa, hivyo ili wafanikiwe ni lazima agombee peke yake.

BTW Nyamlani ni Makamu Mkiti TFF,
mwisho wa siku bora tukose wote halafu wao tuwatende kama wanavyomtenda wambura yaani tuwatilie fitina wasijihusishe na soka wao na jamii zao,ila sishangai fifa ndio tabia yao kwani ni nini kilimpata bin hamann blatter ni janga.
 
maamuzi ya wengi hata kama yananuka mavi yawe halali hii haikubaliki hata kidogo
 
Majibu kama haya wazungu wanaita "Knee jack reaction"!!

You think so?......I did my examination of causes and facts before replying (that's what "Knee jack reaction" is all about)......labda kama hukusoma alichosema niliyemjibu!.....alisema kama FIFA ikitufungia huyo Waziri atakuwa anafanya kazi gani......sasa na wewe niambie ile Wizara ni ya soka tu?
 
Tatizo ni katiba kukiukwa siyo serikali kuingilia TFF. Inabidi TFF iiepushe nchi katika kifungo dhidi ya FIFA. Wanachopaswa ni kidogo tu - kukiri kuwa walikosea na kusajili katiba upya, vinginevyo tukifungiwa heshima yote waliyoijenga itapotea kama mishi na sijui watajifichia wapi
 
Bwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.
Unaweza kuwa sahihi kwenye hilo unalolizungumzia.Binafsi naamini kama ungekuwa makini na misimamo yako basi naimani ungepambana na ukiukwaji wa katiba ya Tff badala ya wewe kujiingiza kwenye mchakato wa kugombea uongozi tena kupitia katiba ambayo from the beginning Mr Malinzi uliona inakiuka taratibu zilizopo..What was the reason behind this move?kwa nni ulishindwa kuweka pingamizi juu ya katiba ilyoitumika kwenye mchakato mzima?Mi nafikiri kuna zaid ya hapo!
 
Back
Top Bottom