"Enzi zile za mfumo wa ujamaa na chama kimoja cha siasa, hilo lingewezekana lakini wakati huu ambao nchi inatumia mfumo wa kibepari, haiwezekani," alisema Chikawe.
.
hakuna ukweli wowote kua kuna uchunguzi, SERIKALI hii imekua inaendeshwa kwa mashinikizo na imekua bingwa kuchukua maamuzi yenye sura ya kulinda siasa za chama na upuuzi mwingine. Rostam kaiweka CCM ya kikwete kiganjani , inateswa na dhambi ya kula hela za mag=fisadi wakati wa uchaguzi mkuu, wamekwama, hawawezi hata kumkemea.Ni jambo la busara kufanya uchunguzi na kujiridhisha kabla ya hatua yoyote ya kisheria. Hata hivyo swali la kujiuliza, ni kwa nini uchunguzi uchukue muda mrefu hata kwa masuala ambayo yako wazi kabisa. Kwa mfano, Kagoda Agriculture ni kampuni ambalo lilisajiliwa na wameliki wake lazima wamo kwenye jalada la usajiri pale BRELA. .
Sikujua kama serikali imeshatamka rasmi kuwa sasa ni ubepari kwa kwenda mbele. Kwa mtaji huo alosema mh. Chikawe Ufisadi ruksa Tz. Samaki wakubwa kuwala Dagaa/wadogo ndiyo kanuni ya Bahari na Maziwa. Uuwi Twafa!
Hata kama ingekuwa kweli kwamba Tanzania inafuata Ubepari ni ubepari gani huu? Ni ubepari gani huu unaotegemea faida toka misaada ya kigeni na njia yake kuu ya kuzalisha mali ni ufisadi?
Hata kama ingekuwa kweli kwamba Tanzania inafuata Ubepari ni ubepari gani huu? Ni ubepari gani huu unaotegemea faida toka misaada ya kigeni na njia yake kuu ya kuzalisha mali ni ufisadi?
Prof Shivji kwa maoni yake alisema hilo haliwezekani kwani katiba inasema kuwa tunajukumu la kujenga taifa la kijamaa na kujitegemea ambalo kwa mujibu wake katiba hiyohiyo imetoa nafasi kubwa ya kumanipulate maana halisi ya taifa linalofuata siasa za ujamaa na kujitegemea.
omarilyas
Hawa jamaa ndio reflection ya uongozi wa Taifa letu. Wanaongea ongea tu kama watu wasiokuwa na fikra. Mara nyingine kama hawana maneno bora wakae kimya maana mwisho wa siku utaweza kuta wengi wanatakiwa kwenda kupima afya za vichwa kama ziko sawasawa.Huyu vipi?
Nani aliyemshinikiza rais amkamate RA? au EL vyombo husika vifanye kazi kwa mujibu wa sheria? waziri naona kaamua kuwasaidia mafisadi na kuwatisha DDP na PCCB wasifanye kazi zao kwa uhuru?
Kwa hiyo ubepari ni sawa na uwizi? inabidi aombe radhi kwa wananchi wa nchi zote za kibepari duniani? Nani kasema ubepari ni uwizi wa mali za umma?
anajua concept ya ubepari? kweli elimu zingine zinatia huruma? lol
HIvi Chikawe alikuwa wapi wakati Rais Kikwete alipotamba kule Bungeni kuwa yeye ana nguvu sana kiasi kwamba akisema Dr. Slaa akamatwe atakamatwa?