huyo mama wa pembeni, anasinzia mchana wote huoView attachment 819381
Waziri mwenye dhamana ya masuala ya mambo ya Ndani, Mheshimiwa Kangi Lugola - Jumamosi atakuwa mgeni rasmi katika mchezo wa nusu fainali ya Ndondo Cup 2018 kati ya FARU JEURI VS KIVULE UNITED utakaofanyika kiwanja cha Bandari Temeke katika Chuo wa Utalii.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa mdau wa michezo Shaffih Dauda
Kala kiporo labdahuyo mama wa pembeni, anasinzia mchana wote huo
Tumetofautiana kuangalia mimi nadhani kama anaona aibu(HAYA)namna ya vimbwanga vya. ..huyo mama wa pembeni, anasinzia mchana wote huo
Kweli kabisa mkuuTumetofautiana kuangalia mimi nadhani kama anaona aibu(HAYA)namna ya vimbwanga vya. ..