Mhe Kangi Lugola mgeni rasmi mchezo wa nusu fainali ya Ndondo cup kiwanja cha Chuo cha Bandari Temeke Dar

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
DjBIV8dXsAEnmWM.jpg

Waziri mwenye dhamana ya masuala ya mambo ya Ndani, Mheshimiwa Kangi Lugola - Jumamosi atakuwa mgeni rasmi katika mchezo wa nusu fainali ya Ndondo Cup 2018 kati ya FARU JEURI VS KIVULE UNITED utakaofanyika kiwanja cha Bandari Temeke katika Chuo wa Utalii.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa mdau wa michezo Shaffih Dauda
 
View attachment 819381

huyo mama wa pembeni, anasinzia mchana wote huo
 
Ndondo cup imeleta msisimko mkubwa wa soka hapa bongo! Hongereni clouds kwa ubunifu!
 
Dauda ameanza tena kujipendekeza na huko
 
Asige akaamuru mchezaji awekwe ndani ya uwanja kisa hajavaaa soksi
 
Huyu Kangi Lugola anapenda sana sifa.
 
Back
Top Bottom