ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Oct 6, 2011 #1 Mhe.J.K (Komba) ndani ya TOT na kibao cha miaka 50 ya uhuru ni burudabni tosha..presha inapanda, presha inashuka!. KibwagizO: " tazama, mabarabara, Jakaya, Kwenye Kilimo, Mrisho, nayo Madini, Kiwete mwenye macho aambiwi tazama!!" .
Mhe.J.K (Komba) ndani ya TOT na kibao cha miaka 50 ya uhuru ni burudabni tosha..presha inapanda, presha inashuka!. KibwagizO: " tazama, mabarabara, Jakaya, Kwenye Kilimo, Mrisho, nayo Madini, Kiwete mwenye macho aambiwi tazama!!" .
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 7, 2011 #2 wadada alionao kwa kibao icho wamejichubua!
LebronWade JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,615 Reaction score 1,508 Oct 10, 2011 #3 Mzee kachoka,hamna kitu kwenye hiyo track...zee shobokaji tu lile.....anatetea kitambi tu ,ni hard kuki-feed aisee...
Mzee kachoka,hamna kitu kwenye hiyo track...zee shobokaji tu lile.....anatetea kitambi tu ,ni hard kuki-feed aisee...