Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
hoja nzuri lakini hakuweza kuiwasilisha ipaswavyo kaongea kama amegutushwa ghafla zungumza au uwezo wake wa kujenga hoja uko chini unahitaji kubustiwa
hoja nzuri lakini hakuweza kuiwasilisha ipaswavyo kaongea kama amegutushwa ghafla zungumza au uwezo wake wa kujenga hoja uko chini unahitaji kubustiwa
Wazee,
Kauli hiyo imenikuna sana. Imetolewa na Mhe. Lema wakati wa Mdahalo wa Tanzania Tunayoitaka uliorushwa moja kwa moja na ITV.
Yaani kauli hii ya mpambanaji Lema imegusa umma na imempa Msekwa na CCM yote picha halisi ya nini kitatokea pale watapofanyia mzaha dhamira hii ya umma. hadi Msekwa alionekana kutoa macho sana, kumaanisha msg imemwingia vyema
Wazee,
Kauli hiyo imenikuna sana. Imetolewa na Mhe. Lema wakati wa Mdahalo wa Tanzania Tunayoitaka uliorushwa moja kwa moja na ITV.
That is the only best language to any dictatorship regime ukiwachekea nyani watazidi kula mahindi yako, ulimona Msekwa alivyobadilika baada ya kuambiwa hivyo akajua kumbe hawa jamaa hawatanii.hoja nzuri lakini hakuweza kuiwasilisha ipaswavyo kaongea kama amegutushwa ghafla zungumza au uwezo wake wa kujenga hoja uko chini unahitaji kubustiwa
egypt is coming to tanzania soon. So soon!!:clap2::clap2::clap2:
yaani kauli hii ya mpambanaji lema imegusa umma na imempa msekwa na ccm yote picha halisi ya nini kitatokea pale watapofanyia mzaha dhamira hii ya umma. Hadi msekwa alionekana kutoa macho sana, kumaanisha msg imemwingia vyema
watake wasitake wasahau kilimo kwanza sasa ni KATIBA KWANZA!!!
Katiba oyeeeee
hizi za lema ndio porojo na fujo tunataka katiba sio maneno..tunataka katiba mpya lakini uongo wa kudai katiba kufanya fujo....kama munayo munayo pendekeza itoeni hapa tuijadili...kusema tu tunataka katiba mpya bila kusema unataka nini ndani ya hio katiba ni uenda wazimu....katiba sio msahafu au injili ambayo binaadam wameteremshiwa na allah,,,,ni sheria ya nchi inayotungwa na binaadamu so hatutaki porojo la katiba bila kusema nini tunataka...wekeni hapa nini kinatakiwa tukijadili....sio porojokwa sasa hatuhitaji porojo za siasa tunahitaji katiba mpya.lema ni mbunge safi kwani ni muwazi na anamaanisha anachokisema,ni muakilishi wa kweli aliyeonja machungu ya maisha magumu.huhitaji degree kufahamu katiba yetu ni mbovu.
"tusiwatishe wananchi kwa kuwauliza vifungu vilivyoko kwenye katiba"-godbless charles