Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Status
Not open for further replies.

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari polisi walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.

Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.

Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
 
Hata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.

Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.

Halikadhalika,Wayahudi hawakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.

Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya matakatifu, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.
 
Nyumbu watampamba sana sasa kabla ya tukio. Akiwa ndani ya karandinga (ambalo limeishaandaliwa), watatafuta pa kutokea hiyo kesho.

Hilo la kukamatwa kwake wala sio habari. Toka Magufuli aingie madarakani Lisu amekamatwa mara nyingi, mpaka kufikia kupigwa risasi ili kumuua. Sasa hivi katangaza kutaka kushindana na Magufuli, huku Magufuli akiwa hana uwezo wa kushindana naye kwenye box la kura, hapo unategemea ataacha kutumia madaraka yake kuagiza akamatwe?
 
Anakuja na wakili wake mbobevu kutoka marekani, somebody Asterdam kama sikosei so usiwe na wasi wasi.
Robert Amsterdam founder of Amsterdam and Patners LLP

Huyu bwana ametetea kesi nyingi duniani tena kwenye mazingira magumu yenye udikteta uliokomaa kama Venezuela, Rusia, Brazil, Turkey...atashindwa hapa kwa madikteta uchwara??
 
Hilo la kukamatwa kwake wala sio habari. Toka Magufuli aingie madarakani Lisu amekamatwa mara nyingi, mpaka kufikia kupigwa risasi ili kumuua. Sasa hivi katangaza kutaka kushindana na Magufuli, huku Magufuli akiwa hana uwezo wa kushindana naye kwenye box la kura, hapo unategemea ataacha kutumia madaraka yake kuagiza akamatwe?
Ni amri ya mahakama sio magu
 
Hata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.

Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.

Halikadhalika,Wayahudi hakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.

Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.
Best comment ever for this weekend, japo ni Kama Dua la kuku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom