Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Status
Not open for further replies.
Kumkamata itakuwa ni utoto wa kiutuuzima
 
Endeleeni kuitunishia dunia vimishipa vyenu vya udikteta uchwara soon mtaokotwa kwenye mitaro 😃😃😂😂😂
 
Hizi ni mada za kulazimisha attention na kuongelewa. Ndio hawa hawa Keyboard warriors waliomuingiza chaka Mange Kimambi
 
That will be the highest blunder JPM regime has ever committed.
 
Twasubiri. Amen
 
Kweli nazidi kuamini kuna watu walioko kwenye system hawakupenda huyu GENTLEMAN TL Hata apone....ila ya Mungu mengi.jamaa anarudi home..... Home sweet home and not otherwise.katika historia ya siasa za Tanzania sijawahi kushuhudia chuki za wazi wazi kabisa za kisiasa kama awamu Hii.
 
Tafadhali usianze na 'wasalaam'.Hilo huwa ni neno la kumalizia.Anza na neno 'salaam'. Ushamba wa lugha unasababisha kututia kichefuchefu tusisome mabandiko yenu.Hili nimelisoma ili nikuonye usirudie tena.
 
Eti nimeona katibu wa chama anasema eti jumanne atakuwa uhuru uwanjani kwenye kuaga.
 
Mkisha mkamata mumfungulie mashitaka yafuatayo:-
1. Kumaliza risasi za mamlaka ya wauaji
2. Kufanya kiburi na kugoma kufa
3. Kwenda kutibiwa nje bila ruhusa ya mkuu
Hiyo namba 2 bhana [emoji3][emoji3]
 
Usisinguzie utaratibu umepengwa kumnyima dhamana wakati unajua fika kuwa ukikiuka masharti ya dhamana kinachofuata ni kuondolewa dhamana
 
Aje tu. hakamatwi.
Ila atakimbia weeeeeee ila atajileta tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…