Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Mara nyingi ninaposoma maandiko ya kaka Pascal Mayalla huwa naanzia aliko ishia kurudi aliko anzia ndio namuelewa alicho andika. Kwa mfano kuna makanisa yameandikwa hivi ( DOG SI NATAS ). Ili uelewe kilicho maanishwa inabidi usome kuanzia S kurudi D, hapo ndio utaelewa.
 
Pascal una hique kubwa ya kutemper na ajili za watu
Binafsi NIMEKUELEWA SANA[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malaqul Maut kashasema tangu Tanzania ipate Corona magonjwa mengine yameacha kuua na kukaa pembeni kushuhudia jinsi Corona anavyo tushughulikia.

NIMEKUA NIKIJIULIZA HILI PIA.
Iwapo watanzania wanataka kujua ukweli ambao wanadhani umefichwa wanataka nini hasa kitokee
A. Serikali ionekane imeshindwa kupambana na janga hili?
B. Serikali ya awamu ya tano chini ya Jembe Dr. Magufuli na chama chake CCM waamue kuachia ngazi ili nchi iwe chini ya Jeshi? Kwakua Tutamuamini vipi Mama Samia, Kassim Majaliwa Majaliwa au Spika Ndugai kuiongoza nchi ili hali wao pia wapo katika chombo hiki (watakaokua wanakituhumu kushindwa)
C. Mliwahi fikiria Taharuki inayoweza kusababishwa na idadi hiyo ya vifo mnavyotaka kuvisikia? Mfano

1. Wananchi kuanza kuvamia maduka ya vyakula kwa ajili ya kujihifadhia chakula cha sijui mpaka lini?

2. Wananchi kuvamia taasisi za kifedha kwa ajili ya kujichukulia furusi ?

USICHUKULIE POA NAMBA 1 NA 2.
Hebu fikiria Kama Panya Road watoto wa umri wa miaka 12-20 kwa idadi yao takribani 30 waliweza kuzua hofu, Mwananyamala, Tandale, Makumbusho na Mikocheni.

Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok ok Ninavyoelewa Mimi Ikulu ipo DSM na pia Dodoma....lakini Kila mkoa Kuna Ikulu Ndogo...ukienda Mtwara utaikuta...ukienda Bukoba utaikuta...ukienda Moshi utaikuta...Sumbawanga, Lindi na kadhalika ...ukienda Kila mkoa ukiuliza jamani Ikulu iko wapi watakuelekeza..inawezekana miji mingine ya mikoa pengine hakuna Ikulu Ndogo lakini Ikulu Ndogo zipo mahali pengi...ila katika kutoa maelekezo na maagizo bila kujali Ikulu iwe ni Ndogo au kubwa mahali popote Rais anaweza kutoa na ikawa halali....kwamba Rais anaongozwa na Katiba na sheria Hilo halina ubishi kabisa...lakini siyo Rais tu..hata raia au mwananchi wa kawaida naye anaongozwa na Katiba na sheria,..Mtu huwezi ukaamua kujenga bungalow lako kwenye mbuga za wanyama kwa mfano kwa kisingizio Cha freedom...au huwezi kuanzisha gazeti utakavyo lazima uzingatie sheria..ukiandaa mipango ya kumuondoa Rais madarakani kwa nguvu na vitendo viovu dhidi ya Rais huo ni ukiukaji wa Katiba na utashughulikiwa kikamilifu kwa mujibu wa sheria....
 
Ingekuwa corona haiwapati na hao viongozi wa serikali labda na mimi ningeamini hizo takwimu ila kwa sisi tinaoshuhudia vifo kila siku naamini niwakati sasa wa serikali yetu pendwa kujitafakari
 
Wandugu, hapa nafanya tuu follow up ya Corona nikipitia kujikumbusha niliwahi kuandika nini au kusema nini kuhusu Corona na hiki kinacho endelea sasa. Corona is real tusifanye masihara, tujilinde kwa kufuata ushauri wa kitaalamu.

Kila Jumamosi asubuhi kuanzia saa 1:30 hadi saa 3:00 asubuhi , Star TV, huwa ninakuwa live kwenye kipindi cha TV cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho huwa kinatangwa live na Star TV kila siku za Jumamosi asubuhi, kwa Jumamosi ya kesho, mgeni wetu ni Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe tukijadili kuhusu athari za Corona kwenye sekta ya Habari, nini kifanyike.

Ukipata nafasi karibu utufuatilie.

P
 
Karibu
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…