Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

Umeeleweka vyema kwamba Mbowe kaongea vizuri na kwamba ni uongo waliokufa hawwezi kuwa 16 tu
 
Basi theory yako kama unaiamini inakuja kwa Jiwe kama ukiua unalipwa na Mungu, basi inakuja kwa Jiwe! Azory, Ben ,Mawazo, coco bech, persecutions etc,etc,

Nimefurahi sana kuwa umekubaliana na "theory" yangu ma imekuingia aklini mpaka unaotolewa mfano.

Una uhuru wa kufikiri upendavyo. Hilo ndilo la muhimu.
 
Tatizo lako/lenu unapenda kushikiwa akili.



Sent using Jamii Forums mobile app
Tuhuma hizo kwa wanachi hakuna ?

Si wapo ambao wanalalama na kusema sio kila msiba corona ila serikali inazidi inataka kypiga pesa ionekane janga ni kubwa ?

Na kuna ambao wanasema serikali inaficha ukweli vifo ni vingi ila wanaotangazwa ni wachache.

Tuwaamini wepi kati ya hawa watu na swrikali yenyewe ?

Kwa nini tuwaamini hao uliowasema ?

Kama hakuna wa kumuamini tufanyeje ?
 
Nimefurahi sana kuwa umekubaliana na "theory" yangu ma imekuingia aklini mpaka unaotolewa mfano.

Una uhuru wa kufikiri upendavyo. Hilo ndilo la muhimu.
Fine, hapo ni pagumu kwa wewe ku comment. sisi tulioishi kwenye enzi za dikiteita Idd Amin, kulikuwa na watu kama wewe, wanamshangilia kwa nyimbo kedekede! Mpaka alipofikia kuua in masses, ndio tukaamua kurudi nyumbani na waganda wakamchukia na kutoroka nchi! Vita ya kagera haikuwa ngumu sana kama inavyosemekana maana waganda walitoa support kwa Nyerere, kila mmoja alikuwa ameshaguswa na ukatili wa Amin!
 

Sasa sijui nisome between the lines maana 16 imerudiwa mara 8 kwenye hili bandiko lako dogo au nielewe kama ulivyoandika kwamba Mbowe aache uongo, uzushi na uchochezi? Ngoja nitafakari 😕
 
Lakini kabla ya mauti si walikuwa wakiishi maisha ya kawaida wakiwa na magonjwa yao yasiyoambukiza?? Kwamaana nyingine corona ndiyo iliyokata uzi na siyo hayo maradhi mengine uliotaja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Una uhakika gani juu ya hilo ?

Mtu ana magonjwa matatu akifa utasemaje totally kuwa kafa kwa corona ilhali kuna magonjwa Mengi yalikuwa yanamuandama?
 
Sina uwezo huo
Unao uwezo sana tena sana! Nakujua muda mrefu hapa JF! Nikuulize swali la kizushi. Hivi kama corona ni ka ugonjwa kadogo, inaingia akilini kweli mtu kujificha over a month kijijini, RAIS WA NCHI?


Bottomline, He is very smart, very smart, anajua kuwa vulnerable ni wenye matatizo ya kwenye moyo, kisukari, HIV and other morbidities, non-communicable ones! Na kweli akifanya mchezo na kaugonjwa kadogo anaondoka!
 
Sasa kama Waziri Mkuu kasema vifo vya Corona ni 16 tu, then huu ndiyo ukweli. Tanzania watu waliokufa kwa Corona mpaka sasa ninapoandika hapa, ni watu 16 tu na huu ndio ukweli wenyewe.

Kitendo cha kumuita Waziri Mkuu wa JMT kuwa ni muongo na serikali inaficha data za vifo vya Corona, huu ni uongo na uchochezi

Jr[emoji769]
 
Hata kama umekulia na kuyafurahia maisha ya wale akina Mama mashambenga, kuna wakati jitahidi kuwakilisha hoja zako kama a sensible genuine woman.

Kuna wakati yawezekana unakuwa na hoja nzuri lakini kwa kuwa uwakilishaji wako na lugha unayoitumia ni hovyo, kila unachokichangia kinaonekana kuwa cha hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nami katika kuchambua makala yako yaani kitaalamu tunaita "Article analysis" namba "16" imetumika mara 9, huku mara nane kati ya hizo 9 ikitumika kama " 16 tu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…