Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

Mheshimiwa Nimrod Mkono ni moja ya Watanzania wachache sana ambao wamenufaishwa SANA na mali za taifa hili la Tanzania. Wala sishangai kuwa ametia saini maana HUU NI WAKATI MUAFAKA WA KUILIPA TANZANIA ILIYOMPANDISHA CHATI MPAKA HAPO ALIPO. Keep it up shemeji yangu.

 
i can can say this is the corporate social responsibility ya maana kuliko zote anazozifanya sasa kupitia bank M
 
shujaa ni a person who, in the opinion of others, has heroic qualities or has performed a heroic act and is regarded as a model or ideal:

so in this case Mkono ni shujaa kwani amefanya kitendo cha kishujaa heroic act regard historia yake.
 
Hii sasa Kali mpaka wezi wameshindwa kuwavumilia wezi wenzao?
 
...maybe He is waitin4His Daddy to lead Him a way,asiposaini Baba mtoto nae hawezi saini,atafutwe faza kwanza zen huyu ''chamilion'' pengine atasaini...
vP January anasaini saa ngapi au ni kesho asubuhi?
 
NAPE nae tunamsubiri asaini. Hapo tutakuwa tumemaliza kazi. Hata kwa kumuomba mbunge asaini tu yeye akiwa nyuma yake kwani hayuko mjengoni.
 
Saint Ivuga,

Hilo gazeti bado lipo kwenye cirulation halijafungiwa?
 
Kwa kweli hatuna jinsi ya kumuokoa huyu "the peasant's child" kwenye huu uongozi wa kidhalimu, acha historia ianzie kwa kuwa kayapenda mwenyewe
 
bravooooooooooooooooo.
Jeuri ya kikwete itakwisha kama si sasa julai watobaki kabisa!

 

Hatukatai kwamba Mkono anafanya makubwa kwa ajili ya watu wake huko Musoma, lakini wakati huo huo hatutaki kuhalalisha kwamba ukitumia hela za ufisadi kwa ajili ya maendeleo ya wananchi basi huo ni ufisadi unaokubalika. Ufisadi ufisadi bwana. Fisadi atubu kwa kutoa hela ya kujengea msikiti au kanisa?
 
Kwanini amdhalilishe PM wake?...ndio maana nilisema moyo wake(Mr.President) ni mgumu kama wa Farao, yule wa Misri

Sasa sijui aina ya mapigo atakayoyapata, labda wana JF mnisaidie kwani mimi simuelewi, na hainiingii kumuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…